Kwaheri 2016 karibu 2017

Hongereni mliotangulia kuingia 2017.

Mungu awabariki.

Kheri ya Mwaka mpya
 
Mwaka mpya umeingia umenikuta kwenye mgegedo wa hatari, sijui ntaufanyia nini huu mwaka maana si kwa push up hizi!
 
Kwa ndugu jamaa na mara fiki napenda kutumia nafasi hii kuwatakia kheri ya mwaka mpya kuna watu tulikuwa nao tarh na Mwezi kama wa Leo lakini hiv sasa hatupo nao
Aidha nitumie nafasi hii kuwaomba radhi humu ndani wote niliowakosea kwa namba moja ana nyingine kwani cc ni binaadamu hatujakamilika inshaallah nawatakia sikukuu njena
 
Habari za mwaka jana wadau natumai tumeingia mwaka huu 2017 karibuni tujumuike kuupokea mwaka mpya happy new year to all jf members!
 
Mungu tubariki wana jf wote pamoja na wamiliki wa mtandao huu, tujalie afya Amani na furaha katika mwaka huu mzima wa 2017.Tukaumalize salama Ameen
 
Back
Top Bottom