jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,962
HahahahhahahahTulipigwa mbaya na nani? Na fisadi? Toka lini fisadi akashinda?
HahahahhahahahTulipigwa mbaya na nani? Na fisadi? Toka lini fisadi akashinda?
Jk ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe.. Kuwahi kushika wadhifa wa Urais hapa nchini hakumuondolei sifa ya ubinadamu.. Kwahiyo naamini rais mstaafu alijisahau na Alikosea kama binadamukwa hiyo 'alitereza' kumwambia magufuli awalipe fadhila vijana wa ccm waliomwezesha kushika dola...ilhali akijua yeye ni mwenyenyekiti wa chama!!? alijisahau kabisa kwamba yeye ndio mwenyekiti wa chama...
kumbe kuzungushaa mikono ndio mabadiliko ya kweli? Nilikuwa sijuiMa CCM mapuuz sana yaan mambo yenu yakijinga kukwamisha mabadiliko ya kweli mnataka pesa ya umma itumike kuwalipa..? Jk hata aibu haoni iii
Jk ni binadamu kama tulivyo mimi na wewe.. Kuwahi kushika wadhifa wa Urais hapa nchini hakumuondolei sifa ya ubinadamu.. Kwahiyo naamini rais mstaafu alijisahau na Alikosea kama binadamu