MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Pole sana Lizaboni yote maisha kaza moyo usikate tamaa ila tambua ccm inawenyewe we jitahidi tu ukuze mtaji wako.Bado kidogo nduguyo Simiyu Yetu naye atakuja kulia humu.Mkuu, kazi zangu ni biashara ya vifaa vya kielectronic na ujenzi. Nina maduka hapa Songea Mjini ambayo inanipa kipato kikubwa. Nimeajiri vijana wengi wa kazi na weledi kwenye kazi hizo. Ninapopata mwanya najitahidi kutimiza wajibu wangu kama mwanachama