Kuelekea 2025 Kwa udhaifu wa rais Samia 2025 ndio itakuwa fursa mujarabu kwa wapinzani kuchukua nchi kwa mara ya kwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi

Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.

Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.

Hata kama wakiiba kura.

Ccm haina historia ya kushindwa kwenye uchaguzi hata kama anayeshindana ni mwanamke
 
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi

Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.

Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.

Hata kama wakiiba kura.
Hili la kuchapisha fomu moja ni janga na upotofu wa viongozi wetu wa Chama. Huu utaratibu ni mbaya kwani wako wengi enye sifa pia ni vyema wakalinganishwa kuweza kupata next badala ya kudhania mmoja pekee anaweza.
Chama changu acheni huu ujinga wa miaka nenda! Je ni wapi mnasema nchi Ina Demekrasia!
Wawepo hata 20 muhimu mmoja atokezee.
 
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi

Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.

Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.

Hata kama wakiiba kura.
Kamanda usiyechoka nami naona fursa ya kushinda ipo. Tusiogoe Watanzania hebu tujaribu na wengine kwani Hawa waliopo wameota kiburi
 
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi

Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.

Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.

Hata kama wakiiba kura.
upinzani ungekua na mtu mwenye hekima na busara kwenye nafasi hiyo sawa, ingekua ni fursa lakini kwa puppet ni kituko 🐒

kibaraka kupata hata above 10% itakua ngumu mno
 
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi

Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.

Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.

Hata kama wakiiba kura.
Inategemea huo udhaifu kwako ni upi hasa?

Kuwaruhusu Wapinzani kuwa huru kiasiasa au?

Kama ni Masuala ya Maendeleo hakuna Rais anaweza kumfikia Samia kuanzia yule mwenye visingizio na kukurupuka Hadi waliopita wakitoa hotuba tamu tamu.

Nina mashaka makubwa na uwezo wa Watanzania kwenye kuchambua na kuweka ulinganisho,si ajabu Wabongo wakachagua mtu ilimradi anawafurahisha Kwa sauti nene au kufoka kwao Hilo Huwa ni jambo la msingi sana.

Nimewahi kuona Jamaa wanasema hata utuwkee tiles Barabarani na kugawa pesa tunakuchukia tuu,mpaka hapo unaweza kuona bila Dola kushika hatamu ni hatari sana kuwapa wapumbavu uhuru wa kuamua.
 
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi

Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.

Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.

Hata kama wakiiba kura.
Vyama vingi kwa nchi nyingi za Afrika ni kama tumekurupuka tu, mapokeo yake ni tofauti na inavyopaswa kuwa, kwetu imekuwa ni sehemu ya kujipatia pesa za ruzuku lakini sio kwaajili ya kuleta changamoto kwenye chaguzi zetu, ndio maana huwa ni ngumu kukiondoa chama tawala kilichojiwekea mizizi kitambo kabla ya uhuru, kuna haja ya kuwa na vyama viwili vyenye nguvu ili kuleta changamoto haswaa kwenye chaguzi. Vyama 26 ni upuuuzi mtupu na vitakuwa vinasaidia tu chama tawala, ndio maana kuna muda wanaunda UKAWA walau kupata nguvu kubwa, lakini bado haitoshi kwakuwa hakuna misingi inayofanana baina ya wakuu wa vyama vilivyoungana. Kwahiyo chama tawala hata kisimamishe mtu gani kuna asilimia nyingi za kutoboa
 
Back
Top Bottom