Kwa nini walimu ni watu wa kulalamika sana utafikiri wao ndio wenye ukata pekee yao au kuzidi wengine

Top Gun

Member
Dec 11, 2024
82
246
Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini,

Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma

Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
 
Hili ndo kundi la watumishi lenye muda mwingi wa ziada wa kuweza kufanya shughuli za kiuchumi.
Sioni kama wana hoja kubwa sanaa katika maslahi maana almost Local GOVT watumishi hawapishani sana mishahara, nadhani shida kubwa ni kukopa alafu uka misuse mkopo wa long term hapa ndo kimbembe huanza.

Heshima kwenu walimu wetu, Tunawapenda.
 
bora wao wana mishahara sie bodaboda tunakomaa na wala hatulalamiki walim wamezid kiukweli kulalamika wao ndo ambao serikali inawapa ishu za sensa uchaguzi sie bodaboda tukiomba hatupewi izo fursa na bado wanalalamika ivi hawa jamaa wakija huku mtaani wakaach aiyo kazi si watajinyonga hawa
 
Sasa mwalimu mwenye shahada anaanza na MSHAHARA wa 790000 basic take home 650000 mwenye degree huyo ASKARI MAGEREZA form iv division iv point ya 30 anaanza na MSHAHARA wa 490000 take home 420000+ 300000+ 100000 MUNGU akupe nn unatoka na 820000 kwa mwezi
 
Walimu wengi wana inferiority complex ndo maana wanalalamika sana na kuchukuliwa poa poa tu.
 
Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini,

Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma

Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
Kwa nini mnawaanzishia thread NYINGI walimu?

Nyinyi ndio mna habari za kishogashoga, walimu wakilalamika mtasema wanalalamika

Wakikaa kimya mnasema walimu maboya hawadai haki zao

SASA MNATAKA NINI? TULIZENI VIJAMBIO BASI
 
Sasa mwalimu mwenye shahada anaanza na MSHAHARA wa 790000 basic take home 650000 mwenye degree huyo ASKARI MAGEREZA form iv division iv point ya 30 anaanza na MSHAHARA wa 490000 take home 420000+ 300000+ 100000 MUNGU akupe nn unatoka na 820000 kwa mwezi
Na sisi tuwe kama majeshi mengine!! Unajua hata vyeo ni sawa kati ya polisi na magereza ila mishahara ni tofauti🤣
 
Na sisi tuwe kama majeshi mengine!! Unajua hata vyeo ni sawa kati ya polisi na magereza ila mishahara ni tofauti🤣
Nyinyi mnalinda watu ambao tayari wamelindwa. Yaani wako kwenye ngome pia wako na vazi maalumu la kuwajua watu wako. Wenzenu wanalinda watu ambao hata hawajui wako wapi na wanavazi gani na mipaka yao ni ipi.
 
Back
Top Bottom