Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 56,029
Yaani kaahKwa hiyo anakula nini
Yaani kaahKwa hiyo anakula nini
Duh.....Kukwepa yote angalau kila Siku kabla ya kulala shushia beer glasi kubwa moja.
Itasaidia kurekebisha mifumo mingi ya mwili.
Upo sahihi lakini tatizo bado ni ZAIDI YA KUBWA kwani vyakula vingi vya mboga mboga vimejaa kemikali za kutosha, achilia mbali samaki (aidha wa maji baridi(tena hawa ndio hatari zaidi) au maji chumvi), ndio utakula taka na kemikali za kila aina kutona na uchafuzi mkubwa wa mazingira ktk water bodies....Vegetables, salads..mboga mboga za majani ,kabechi,lettuce
Protein kama samaki,nyama kidogooo,kuku,maharage
Matunda yotee, bamia, ngongwe,karoti, hoho etc
Wanga ...viazi vitamu,ugali wa dona kidogooooo
Snack...korosho,almond
P.s kula ngano isiyokobolewaa ukiweza acha kabisa..apa utakua na mwili mzuri na magonjwa utayaskia kwa wengine
Asilimia flani ni ya kurithi lakin pia ulaji una sehemu yake kuchangiaUpo sahihi lakini tatizo bado ni ZAIDI YA KUBWA kwani vyakula vingi vya mboga mboga vimejaa kemikali za kutosha, achilia mbali samaki (aidha wa maji baridi(tena hawa ndio hatari zaidi) au maji chumvi), ndio utakula taka na kemikali za kila aina kutona na uchafuzi mkubwa wa mazingira ktk water bodies....
Pia ikumbukwe magonjwa haya mengi yasiyo ya kuambukiza (chronic diseases) ka kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo nk., huridhiwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Asilimia flani ni ya kurithi lakin pia ulaji una sehemu yake kuchangia
Ya kurithi tutayakataa kiroho kwa kumwomba Mungu