Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
49,749
72,721
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,

Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na hayo maudhui?
 
Kwani shida nini ndugu,
Mbona mnajiwekea limit kwenye mambo normal tu,
Ukianza kuzuia vitu vidogo itaonekana
Dini imekaa kibinadamu zaidi kuliko imani kwa Mungu,
Kama Mungu hajasema noo nyie kina nani mzuie itaonekana ni wazi hizo dogma ni man made!
 
Mathayo 13:29-30
Akasema, 'La, msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo. Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno, na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao: Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu'
 
Kwwhiyo wanabongofleva hawapaswi kujadili kuhusu dini?

TEC ndio nani awe na amri juu ya imani na furaha ya watu wengine?

Umesahau dini ni biashara, Chino na Zuchu vile vile?
 
Kwwhiyo wanabongofleva hawapaswi kujadili kuhusu dini?

TEC ndio nani awe na amri juu ya imani na furaha ya watu wengine?

Umesahau dini ni biashara, Chino na Zuchu vile vile?
 
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,

Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na hayo maudhui?
Kwani Maudhui ya Neno la Mungu ni Mali ya Katoliki?
 
Back
Top Bottom