Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 49,740
- 72,702
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na hayo maudhui?
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na hayo maudhui?