J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,039
- 2,523
Maumivu ya Lisu ni ya taifa kama wameweza kumuumiza mtu kama yeye hawashindwi kwa kabwela yoyote. Hivyo lazima tupambane kwa umoja.Tusidanganyane hapa hamna mpinzani mwenye uchungu na mikakati ya kweli ya kumkomboa Mtanzania
1. Wanajua kabisaa kuwa mazingira ya uchaguzi hayako fair, kwa Nini agenda yao ya kwanza isiwe kuweka sawa mazingira ya upinzani nchini.kama katiba Mpya na time huru ya u hachaguzi? Tafsiri yake Wana uchu wa madalaka ndo maana wananunulika Kila siku
2. Upinzani Hauna agenda ya kitaifa. Tundu Lissu hakuja kuwa Rais, Bali amekuja kutafuta sababu ya watu Fulani washtakiwe au wawekewe vikwazo Fulani kwani kwa mazingira ya uchaguzi hamna usawa. Nakubali kuwa aliumizwa sana " asitumie watanzania kutafuta anacho kitaka". Asiyafanye maumivu yake kuwa ya Taifa zima
Tujipange kwanza
Hoja yako ya kwanza ni kweli kabisa walipaswa kuongoza watu kupigania mazingira ya siasa kwanza. Kwani mpaka sasa katiba bado ni mbovu. Na nimeapa uchaguzi huu mwisho kushiriki ikiwa mazingira hayatakuwa fair. Nilikuwa nisishiriki ila nineshiriki kwa sababu ya damu ya Lisu iliyomwagika kuonesha kuwa napinga dhuruma na kuchagua haki. Na hili litanisimamia kiroho kwa muda wote Magu akiwa madarakani mabaya yake hayatanipata na uzao wangu na mazuri yake tutagawana na waovu sawa.