Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,565
- 11,525
Huyu tafadhari asijibiwe... tutakuwa tunafuga vilazaInatumia deasel au umeme
Huyu tafadhari asijibiwe... tutakuwa tunafuga vilazaInatumia deasel au umeme
Unapewaje ripoti wakati bado hawajaanza freight?Huu mradi kama kipaumbele ni abiria haufiki mbali hautakuwa na tija
Ilitakiwa sasa hivi TRC wangekuwa wanatupa ripoti ya containers zilizosafirishwa so far
Sasa treni imejaa ulitakaje? Wameweka makadirio yao ya abiria kwa siku,imejaa. Au mnataka hata ikijaa muendelee kupanda yawakute kama ya MV Bukoba?Kichwa cha habari chahusika.
.Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa.
Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa .
Haijulikani wamefunga mabewa mangapi, yanayoonekana ni mawili tu.
.Imenikera sana.
Kwa mwendo huu sijui kama tutafika.
Kwenye tovuti yao waliweka mabehewa mawili hiyo jana usiku. Asubuhi ya leo ikaonyrsha mabehewa mengineSasa treni imejaa ulitakaje? Wameweka makadirio yao ya abiria kwa siku,imejaa. Au mnataka hata ikijaa muendelee kupanda yawakute kama ya MV Bukoba?
Siku hizi za mwanzo itajaa sana kwasbabu wengi wanapanda tu kuweka rekodi zao wala hawana safari za ulazima. Baada ya miezi mitatu hali itakuwa kawaida.
Waanze hilo zoezi ASAPUnapewaje ripoti wakati bado hawajaanza freight?
Ndo kwanza wako kwenye maongezi na TPA kuhusu kusafirisha makasha kwenda kwala.
Kwa sasa treni haiwezi beba mizigo sababu reli haijakamilika.
Mawili tu?!!!, why?!!Kichwa cha habari chahusika.