Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,972
9,519
Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora.

Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika.

Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana sio mradi wa serikali ni wa mtu fulani wakati ni wa serikali na wananchi.
 
Back
Top Bottom