Night shadow
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 576
- 1,104
Nimeuona utofauti mkubwa sana kati ya mashabiki wa Simba na Yanga,wananchi wameishia hatua ya makundi mashindano ya klabu bingwa africa tena wakiwa na kikosi bora kabisa.
Hawajapiga kelele kwa timu yao,hawajaitukana timu yao bali wamejipa moyo nakuendelea kuisapoti timu yao katika mashindano yaliyobaki.Vipi kuhusu sisi tulioitwa mbumbu na aden rage? timu ipo nusu fainali hatua ambayo wenzetu waliipita na kwenda fainal,hatua ambayo imetutesa kuifikia kwa misimu takriban 6 tena tukiwa na vikosi bora kabisa.
Nimakelele tu na kuitukana timu,kocha na wachezaji.Timu yetu ina wachezi wengi wamekutana kwa msimu wa kwanza na fadlu kajitahidi awezavyo,mnataka afanyaje? aushike mguu wa ahoua kulenga goli? timu haina namba 10 mbunifu na mnyumbulifu wote tunajua,then mbumbumbu mmoja analia na kocha,vipi akacheze fadlu?.Nikweli bado timu haina ubora huo je zenye ubora zimefika wapi?.
PLEASE GUYS TUMPE FADLU HESHIMA YAKE.