Kwa moyo wa dhati niwapongeze mashabiki wa Yanga, chukueni maua yenu

Night shadow

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
576
1,104
Nimeuona utofauti mkubwa sana kati ya mashabiki wa Simba na Yanga,wananchi wameishia hatua ya makundi mashindano ya klabu bingwa africa tena wakiwa na kikosi bora kabisa.

Hawajapiga kelele kwa timu yao,hawajaitukana timu yao bali wamejipa moyo nakuendelea kuisapoti timu yao katika mashindano yaliyobaki.Vipi kuhusu sisi tulioitwa mbumbu na aden rage? timu ipo nusu fainali hatua ambayo wenzetu waliipita na kwenda fainal,hatua ambayo imetutesa kuifikia kwa misimu takriban 6 tena tukiwa na vikosi bora kabisa.

Nimakelele tu na kuitukana timu,kocha na wachezaji.Timu yetu ina wachezi wengi wamekutana kwa msimu wa kwanza na fadlu kajitahidi awezavyo,mnataka afanyaje? aushike mguu wa ahoua kulenga goli? timu haina namba 10 mbunifu na mnyumbulifu wote tunajua,then mbumbumbu mmoja analia na kocha,vipi akacheze fadlu?.Nikweli bado timu haina ubora huo je zenye ubora zimefika wapi?.

PLEASE GUYS TUMPE FADLU HESHIMA YAKE.
 
Hongera sana Mkuu uchambuzi Mzuri sana.

Labda na Mimi nichangie kidogo.
Yanga wamechukua Ubingwa mala 3 Mfululizo NBC na CRDB.
Na kucheza Fainali CAFCC.

Hata kutolewa makundi watu hawalalamiki kwasababu wanajijua wao sio wazuri sana kwenye Mashindano ya kimataifa.japo wana quality nzuri sana za wachwzaji wao kuliko Simba na Timu nyingi Africa

Yanga wana Quality Nzuri sana imagine una no 10 wa wanne hadi watano wa maana sana.
1. Azizi ki
2. Pakome.
3. Chama.
4. Maxi.
5. mudathiri.

Simba kwenye hili eneo wana mchezaji Mmoja tu Jean Charles Aohua.

Binafsi baada ya msimu ulipoanza tu nililiona hilo Tatizo mapema sana na kuona Aohua hatoshi kabisa kwenye hiyo position, Ilikuwaje dirisha dogo lilipoanza viongozi na kocha kusajili mchezaji mmoja tu????????

QUALITY ZA WACHEZAJI WA SIMBA ZIPO CHINI MNO.
 
Wanadhamini timu 8 ligi kuu wataachaje kutawala ndani?

Nje wamepangiwa kundi bovu na bado wakashindwa kutoboa
 
Hongera sana Mkuu uchambuzi Mzuri sana.

Labda na Mimi nichangie kidogo.
Yanga wamechukua Ubingwa mala 3 Mfululizo NBC na CRDB.
Na kucheza Fainali CAFCC.

Hata kutolewa makundi watu hawalalamiki kwasababu wanajijua wao sio wazuri sana kwenye Mashindano ya kimataifa.japo wana quality nzuri sana za wachwzaji wao kuliko Simba na Timu nyingi Africa

Yanga wana Quality Nzuri sana imagine una no 10 wa wanne hadi watano wa maana sana.
1. Azizi ki
2. Pakome.
3. Chama.
4. Maxi.
5. mudathiri.

Simba kwenye hili eneo wana mchezaji Mmoja tu Jean Charles Aohua.

Binafsi baada ya msimu ulipoanza tu nililiona hilo Tatizo mapema sana na kuona Aohua hatoshi kabisa kwenye hiyo position, Ilikuwaje dirisha dogo lilipoanza viongozi na kocha kusajili mchezaji mmoja tu????????

QUALITY ZA WACHEZAJI WA SIMBA ZIPO CHINI MNO.
Simba hawatakiwi kabisa kutumia hii michuano kama kipimo cha kujiweka kwenye mzani mmoja na wakubwa wa Afrika, kwa kusema kweli ubora wa timu za CAFCC ni mdogo sana.

Timu zote zilizoingia semis katika CAFCC sioni hata moja ambayo ingeweza kupita group stage katika CAFCL(labda kidogo berkane). Wakati upande wa CAFCL timu zote zilishika nafasi ya 3 group stage zina uwezo wa kubeba hili kombe CAFCC
 
Nimeuona utofauti mkubwa sana kati ya mashabiki wa Simba na Yanga,wananchi wameishia hatua ya makundi mashindano ya klabu bingwa africa tena wakiwa na kikosi bora kabisa.

Hawajapiga kelele kwa timu yao,hawajaitukana timu yao bali wamejipa moyo nakuendelea kuisapoti timu yao katika mashindano yaliyobaki.Vipi kuhusu sisi tulioitwa mbumbu na aden rage? timu ipo nusu fainali hatua ambayo wenzetu waliipita na kwenda fainal,hatua ambayo imetutesa kuifikia kwa misimu takriban 6 tena tukiwa na vikosi bora kabisa.

Nimakelele tu na kuitukana timu,kocha na wachezaji.Timu yetu ina wachezi wengi wamekutana kwa msimu wa kwanza na fadlu kajitahidi awezavyo,mnataka afanyaje? aushike mguu wa ahoua kulenga goli? timu haina namba 10 mbunifu na mnyumbulifu wote tunajua,then mbumbumbu mmoja analia na kocha,vipi akacheze fadlu?.Nikweli bado timu haina ubora huo je zenye ubora zimefika wapi?.

PLEASE GUYS TUMPE FADLU HESHIMA YAKE.
UTO kwenye moja na mbili, chomoa mwiko huo wewe.
 
Washabiki wa Yanga ni watu haswaa. Wakifungwa wanapongeza, mfano tu walipigwa na Tabora wakawapigia makofi yakaisha. Mchezaji hata kama wa timu pinzani akifanya vizuri dhidi yao wanammwagia manoti. Hiyo ndiyo roho ya kitajiri, roho ya ushindi. Ila kuna timu hata kupeleka timu uwanjani haitaki.
 
Nimeuona utofauti mkubwa sana kati ya mashabiki wa Simba na Yanga,wananchi wameishia hatua ya makundi mashindano ya klabu bingwa africa tena wakiwa na kikosi bora kabisa.

Hawajapiga kelele kwa timu yao,hawajaitukana timu yao bali wamejipa moyo nakuendelea kuisapoti timu yao katika mashindano yaliyobaki.Vipi kuhusu sisi tulioitwa mbumbu na aden rage? timu ipo nusu fainali hatua ambayo wenzetu waliipita na kwenda fainal,hatua ambayo imetutesa kuifikia kwa misimu takriban 6 tena tukiwa na vikosi bora kabisa.

Nimakelele tu na kuitukana timu,kocha na wachezaji.Timu yetu ina wachezi wengi wamekutana kwa msimu wa kwanza na fadlu kajitahidi awezavyo,mnataka afanyaje? aushike mguu wa ahoua kulenga goli? timu haina namba 10 mbunifu na mnyumbulifu wote tunajua,then mbumbumbu mmoja analia na kocha,vipi akacheze fadlu?.Nikweli bado timu haina ubora huo je zenye ubora zimefika wapi?.

PLEASE GUYS TUMPE FADLU HESHIMA YAKE.
Wewe na Mashabiki wenzako wa Utopolo wakiwemo wachezaji mlijua kabisa hamna timu ya kuwapeleka robo sasa ulitegemea kelele zitoke wapi.
 
Mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu! Kwa hiyo ni haki yao kulalamika, kupiga kelele, na kutukana watu hovyo.
 
Mlifukuza kocha nyinyi vyura kwa kelele za mashabiki timu kushindwa kuvuka hata makundi michuano ya CAF.

Shida mnavichwa vyepesi kwa kusahau😂🤣
 
Back
Top Bottom