Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,164
- 7,313
Habarini,
Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na wanaofanana na hao.
Huenda alichofanya Niffer kukusanya michango ya maafa kariakoo kina nia njema 100%, au pia kina lengo la upigaji, kwa hapa nipo 50/50 maana sina ushahidi usio na shaka.
Ila nimewaza kama mtu unaonesha mitandaoni una range rover 2, unaishi nyumba ya ghorofa,una biashara successful, plate number ya gari umeweka jina lako, kwanini usitoe let's say tsh million 50, au bidhaa zenye thamani ya million 50 kwa wahanga wa kariakoo, kwanza 50 million tsh nyingi, tsh million 5 tu inatosha, uka post pay slip kwenye wall yako ya insta, na ku-motivate followers wako wapeleke misaada ya hali na mali pale, mpaka utoe account no. hela zipite kwako 🤔
Same goes to chief godlove, kama wewe ni tajiri kwanini uwaambie watu wachangie 100,000 tsh ili waingie kwenye group uwafundishe jinsi ya kupata utajiri🤔na haijulikani chief godlove anafanya biashara gani.
Sirjeff Dennis kuna kipindi alichangisha elf 40 kila mtu, alikuwa naota darasa jinsi ya kufanya forex utajirike. Mitandaoni anajionesha anaendesha jaguar, na anafanya large scale farming
Celebrity entrepreneur pekee ninaeona hapa Tanzania aliekuepo, na biashara zake zinaeleweka, ni the late Reginald Mengi, bidhaa zake za bonite za soda, na maji ya Kilimanjaro yanayouzika nchi nzima zilikuwa zinajulikana na kampuni ya bonite obviously inaingiza pesa nyingi, alikua akitoa msaada mara nyingi ni 100million tsh to billions of tsh kila mwaka, hakuwahi omba watu wamchangie , ingawa media zake kama itv hazipati faida na zinachelewesha kulipa mishahara, lakini kibiashara na ki-lifestyle, ni celebrity entrepreneur aliekua anaeleweka kuliko hawa celebrity entrepreneurs vijana wanaotrend insta.