twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,795
Namimi huo ndio mtazamo wangu...vyama vya kichaga vitakaa sana benchi Ikulu itaendelea kuwa ya CCM kwa miaka milioni 2.Unaweza ukawa na chembe chembe ndogo sana za hoja, lakini kwa hivi vyama vya Kichagga , Ccm bado inahitajika sana. CCM ni chama kizuri sana kilikuwa kinaharibiwa na Mafisdi na wale walioamini CCM ni wao na wao ndiyo CCM. Magufuli anarudisha hadi ya CCM, itachukua muda sana Upinzani huu wenye mrengo wa Ukabila, Udini na Ukanda kuiondoa CCM madarakani. Siyo mtazamo wangu, ni mtazamo wa Watanzania walio wengi. Ndivyo wasemavyo makazini, vijiweni, kwenye mikusanyiko ya starehe n.k.