Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
- Thread starter
- #21
CCM na ujamaa wao ni ushetani, una sababu nyingi za kumshawishi raia waliomharibu akili, kupigania kubaki masikini kuliko zababu za kuuondoa umasikini.Wanaharamisha kila matumaini na njia za kumkomboa mwananchi. Ujamaa ni ushetani, ni km uchawi , wachawi wanaishi vibaya sana ila hawaoni sababu ya kuachana na huo upuuzi km wanavyoona sababu ya kudhalilisha watu .Wanapenda power kwa gharama yoyote kugeuza watu masikini na watumwa kisha kuwapa matumaini ya uongo kwamba wao ndio wakombozi. WATZ WATASHANGAA SANA KWANINI KILA TAFITI NA MIPANGO YA UKOMBOZI INAWEKWA KTK MAKABATI NA MIZENGWE INAIBUKA.mkuu, tuliaminishwa hivyo hivyo mwaka 2005 kuwaJMK ni mtu anayejua umasikini wetu maana alikuwa ana mazoea ya kukaa na wananchi vijiweni. je, maisha bora ya kila mtanzania yamepatikana? unauona ubaya wa huo unaouita mrengo wa upinzani wa udini,ukanda na ukabila tu, je mrengo wa CCM wa rushwa na ufisadi uliotufikisha hapa hukuuona?