Kwa aibu hii ya mara ya pili, wahusika mbadilishieni Rais mpambe wake

Hii tabia sio nzuri tujaribu kuheshimu mawazo ya mtu kwa kujua kuwa binadam wote hatuna uelewa sawa! ............. Mtu kaanzisha uzi wake ili ajiongezee chochote kile kichwa. wanatokea watu wanaanza kuporomosheana maneno yasiyokuwa na staha tena katikati mwa uzi, ..... kweli sio uhungwana kama vp anzisheni uzi wenu wa kupimana uelewa wenu bila kuharibu uzi wa mtu!
 
Hebu mtuambie mliona hayo yanayosemwa kwenye huu uzi hasa yaliyojiri leo ni sahihi au Yule Kanali amezushiwa maana kunaonekana mwenye uzi ameshindwa kutafsiri tukio lilivyokuwa.Hebu mwenye ushahidi atuwekee hapa
 
Yule ni mpambe,ni mapambo,hana kazi. Sasa wewe sijui amekukasirisha nini? Yule ni mpambe,liason kati ya Rais na jeshi. Akiwepo pale,ina maana kazi ya Rais ina baraka za Jeshi. Wakati wa vita ya Uganda nilikuwa namuona ADC anapokea habari zinavyokuja na kuzipeleka kwa Rais.
 
Unaambiwa alijaribu kumpotosha(kumdanganya?)rais,hiyo tu ni misqualification ya kutosha,kama hakujua basi hafai!kama alijua pia hafai.
Na yeye ni binadamu sio roboti mkuu, acheni kukodolea macho kila kitu......at least kama ana perform hakuna tatizo....
 
Mkuu kuna vijana wa TISS ukiwaona unaweza usiamini ila ni ngangari...Sidhani kama tunaweza kutambua ungangari wa yule mpambe kwa kumtazama tu isitoshe kwa rank za jeshi yule ni meja kama sijakosea
 
Mleta mada ni mnyarwanda,nilishalisema sana hili siku za nyuma.anafahamika vuzuri na watu wa kitengo.huyu JWTZ kwa kutumia vyanzo vyake wakitaka kumpoteza ni swala sekunde tu.ila tu ashukuru kitu kimoja,post zake nyingi ni za u-comedy,hazina madhara kwa usalama wa Taifa.
 
Kivipi mkuu, sijakuelewa, mbona Obama hana mpambe?
Kuna wapambe visible na invisible,Obama yuko nao wengi invisible fuatilia alipokuja bongo na Kenya ndo utajua nimaanishacho ila wenzetu wana back up ya technologia
 
Back
Top Bottom