Kuwa na wabunge aina Musukuma Kasheku ni kulikosea sana taifa

Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
Wasukuma hao, huwezi kuta mambo hayo jamii zinazojua umuhimu wa shule km za kichaga, wanyakyusa ht wahaya. Jamii km hizo ni km wairaqw(wambulu), angalia wabunge wa Karatu Mbulu mjini Mbulu vijijini, kuna yule wa Mbulu mji hawezi hata kumwuliza swali waziri mkuu, sasa mtu km yule anawakilisha wananchi kivipi. Wabunge km Kasheku Joseph(Geita vijijini), Hamisi Tabasamu(Sengerema), Mshimba(Kahama), Kibaji(Mtera), yule wa Nyang'wale, wale wa kule Karatu na Mbulu ni hasara kwa hili Taifa. Wanachoweza ni ulozi na hawana ht haya. Mbunge chagua kijana km Hussein Mohamed Bashe, Jerry Silaa Taifa linafaidika siyo jimbo lake tu. Unachagua mbunge hawezi kuwa ht makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge. Tuwe serious!
 
Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
Ukifuatilia sana hapo bungeni karibu wabunge wote Drs la Saba wameshapata PhD na master Kwa njia wanazojua wenyewe
 
Unamhitaji mpina ambaye hata bunge limemsimamisha kwa kukosa maadili au na wewe ni fisadi kama yeye
Maadam bado unaishi, iko siku utajua kwamba wakati mwingine fedha inaweza kumfanya mtu akaonekana ni fisadi ilhali siyo, na yule ambaye ni fisadi akaonekana ni msafi.
Sina mengi.
 
Halafu mbunge kama huyu ndo aweze kusoma na kuuchambua mkataba wa DP world..!
 
Back
Top Bottom