Kuwa na wabunge aina Musukuma Kasheku ni kulikosea sana taifa

Na wapigakura wao ni shida.Shule huwa hawataki kwenda.Tazama takwimu za elimu mikoa ya Shinyanga,Mwanza,Simiyu,Geita na Tabora halafu uangalie Iringa,Kilimanjaro,Arusha na Manyara kama mifano.
Siamini katika shule kuwa hawataki kusoma labda zamani sahivi hiyo mikoa ina wasomi wengi sn, tatizo kubwa ni rushwa na ushirikina
 
Kigezo mojawapo cha kuwa Mbunge au Diwani ni kujua Kusoma na Kuandika.
Ikiwa kila kata ina Sekondari na bado tunachagua wabunge wa drs la 7, There's something wrong.
Sheria zinazowahusu wao hawazibadilishi katu ili waendelee kunufaika
 
Wasomi wengi lakini hawana uuwiano na wasio na elimu.Wajinga ni wengi mnoo ndiyo maana CCM inajivunia kuwa ndiyo wapigakura wao.Hili halina query wala hitaji la CAG.
Nadhani issue siyo usomi issue ni mfumo uliwaweka akina msukuma na wajinga wengine, bahati nzuri Tanzania sijafika Kigoma pekee mikoa mingine yote nimefika, Tanzania inashida ya wasomi ndiyo wapumbavu kuliko hata wasiyosoma, mikataba ya hovyo inasainiwa na wasomi, wezi wa mali za umma ni wasomi hao hao, labda kama una utani na wasukuma, kama kumbukumbu zangu zipo sawa mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mwanza ni ngome ya CHADEMA kama ilivyo Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Dar, Dodoma na Pwani ndiyo mikoa pekee haijawahi kuwa na mbunge kutoka upinzani ndiyo mikoa masikini kupita kiasi, nakataa Geita, Kahama na Simiyu ina wasomi wengi sn pamoja na matajiri, akina Mkumbo, Mwigulu, Aweso, Ummy, Masauni, Jafo, Kijaji wanafaida ganni kwa nchi?
 
Mtu kama Prof.Mhongo na Gwajima,majuzu kati wameongea hoja za maana sana Bungeni.angalia kama tungekuwa na Wabunge wa aina hiyo hata 300 mule Bungeni kwa miaka yote 5 wawe wanatoa hoja za namna hiyo lazima baadhi ya hoja zingefanyiwa kazi.
Hakuna bunge pale watu wanasubiri maelekezo ya Ikulu
 
Back
Top Bottom