Kuwa na wabunge aina Musukuma Kasheku ni kulikosea sana taifa

Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
Mtu darasa la saba amepata uelewa na weledi kiasi kutokana na kuwepo bungeni kwa muda mrefu hadi ameamini ana weledi sawa na msomi wa shahada ya uzamivu. Kujiamini huko kwa kupitiliza kunaonyesha bado ni mjinga.
 
Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
Yaani kwa wabunge aina ya musukuma, kishimba n.k, tuna hasara taslimu kama Taifa.
 
Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
Kigezo mojawapo cha kuwa Mbunge au Diwani ni kujua Kusoma na Kuandika.
Ikiwa kila kata ina Sekondari na bado tunachagua wabunge wa drs la 7, There's something wrong.
 
Back
Top Bottom