Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,392
- 7,877
Maisha yameenda kasi sana, unaweza kujua hii ilikuwa mwaka gani?
Enzi hizo za 109(One ziro nine)!Maisha yameenda kasi sana, unaweza kujua hii ilikuwa mwaka gani?View attachment 3310537
Kababa yee....yee( huyu alikuwa mwana mazingaumbwe)Aisee pawa mabula alijulikana nchi nzima kwa watoto wa shule miaka ya 80 na 90. Alikuwa anakusanya umati mkubwa wa watoto mitaani akiwaimbisha wimbo wake wa pawa mabula ee, ee, alikuja ee, ee.... Watoto wa zamani tuna mengi ya kusimulia
Duh, atakua vipi hai ndugu yangu? Miaka yote hiyo, ?Ivi huyu power Mabula yupo hai
Du nae alikuwa power? Power hananja?mchungaji hananja nae kafanya sana kazi hii ,mpaka meno engine yalimng'oka
Alifariki miaka ya 2014 ama 15 mara ya mwisho alimpa maisha yake Yesu na kuwa Mchungaji wa kanisa la kilokole kule Kilindi Tanga..Ivi huyu power Mabula yupo hai
MKUU yaani kama kweli nyakati za miaka baada ya uhuru tutazitupilia mbali na kusahau matukio eti ni zama za kishamba basi hatuwez kuwa na utimamu wala future.Tamaduni na njia zenu za miaka hiyo zote zimebatizwa Jina "Ushamba"
Tutazikumbuka enzi na siku zetu za zamani.
Ulimwengu mlioishi haupo Tena.
ulikuwa unaiba nn maskani kwenda kuuza upate 20 hiyo ukaone mabulaThose days...
Bonge la mwili alafu kibamia
Huyu ni mm kabisaBonge la mwili alafu kibamia