Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

Ndugu nimefuatilia press conference ya ukawa ambapo lowassa ametangaza rasmi kujiunga na chadema. Nimeshangazwa na kauli za wenyeviti hasa Mwenyekiti wa NLD kwa kusema wanamkaribisha ukawa na akilee chadema vizuri. Mimi nilitegemea kwa sababu Lowassa ni mchanga chadema na hana ufahamu mkubwa wa chadema na misingi yake, yeye ndiye aliyepaswa kujengwa upya na kufundishwa misingi mipya ya demokrasia ndani ya chadema na ukawa. I feel his influence is beyond imagination.
 
We should not be foolish to say it cant happen here as ccm say,we should know that the price of liberty is eternal vigilance.

Viva Ukawa Viva Chadema.

is to early to say that UKAWA is a RECYCLE BIN?where useless files are stored?
 


Lowassa:

Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani


Mbatia:


Pumba nyengine ya leo, Anasahau kuwa toka atoke madarakani, wahusika wa ufisadi ni walewale aliokuwa nao kwenye kufungua kampeni yake ndani ya CCM. Kashfa kubwa ya richmond wahusika waliokuwa verified ni CHENGE na Tibaijuka. Hao Chenge na Tibaijuka ndio watu wake wa karibu.

Aisee anayempa ushauri huyu mzee hamtakii mema, kweli wabongo nuksi.

CDM wanatia huruma, maana ukianza kudai ushahidi kwa kila ufisadi, fisadi atabaki mramba na yona walioko jela, wengine wote wataonekana mapadri wakati umma unajua matendo yao.
 
Walimchafua bure mzee wa watu rich mond ya mkuu wa kaya, jamani rafiki bora ni mwanasesere.
 
uwezo wa kupambana na CCM wanao....
asema kuwa " UKAWA" hautasambaratika...
watanzania kwanza vyama baadae.
 

Imekuuma sana,mtanyooka tu
 
Nina mwanangu yuko darasa la kwanza kaniuliza lowasa si ni yule alikuwa anatukanwa na mbowe pamoja na slaa nimeshindwa kumjibu.

Mwanao ana AKILI kuliko Slaa, Mbowe, Lipumba, Makaidi na Mbatia. Yupo wapi ili nimtumie hata zawadi tu kwani yupo vizuri mno Kichwani.
 

Ningeshangaa kuwa positive kwenye hili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…