Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

Unakazi ngumu maana hawa wala vindege hata awaeleweki ni bendera za ccm mji mzima mpaka mtu unatamani kuvaa miwani ya mbao usizione

Sasa hvi wataelewa tu maana Regina Lowasa ni wa kai na ndie atakuwa first lady, lazima watamuunga mkono tu. Haaahaaa nacheka kwa huruma Juma Nkamia anaweza kosa uwaziri aisee.
 
[h=2][/h]

Mda huu katika kukakiribishwa na kukabidhiwa kadi MH.LOWASSA ndani ya CHADEMA ,ameulizwa swali moja kuwa Muuliza swali:MH.EDWARD LOWASSA unazungumiaje kuhusu kashfa ya richmond? MAJIBU LOWASSA:"nipende tu kusema mimi kama waziri mkuu kwa kawaida ya sheria huwa ninaletewa mkataba muda wa mwisho kuupitia na kuupitisha huwa sihusiki na kuandaa mikataba,mwenye mamlaka ni waziri husika,hivyo baada ya kuletewa mkataba husika wa richmond niliupitia na kiukweli niliuwekea shaka kwa sababu nilishawahi kuwa waziri wizara ya maji nina uzoefu na kuandaa mikataba,nilishauri mkataba huo uvunjwe lakini waziri wa nishati akawasiliana na...








[h=2]BREAKING NEWS:LOWASSA AJIBU TUHUMA YA RICHMOND RASMI,AMTAJA MUHUSIKA[/h]
 
mbatia anasema :
...hakia zako lowasa kama waziri mkuu mstaafu tutazilinda hata kama uko nje ya serikalui
tanzania sio mali ya chama watapigania haki zake kama waziri mkuu mstaafu
hivyo asiwe na wasi wasi.
 
Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?
Kama alijua hivyo kwa nini alikubali kujiuzulu?
 
mbattia asema leo anafuraha isiyo kifani toka sakafu ya moyo wake
atolea mfano mifano ya KANU...ilivyotolewa madarakani
Tanzania bila CCM ina wezekana.
 
"Niliita kikao cha makatibu wakuu wanaohusika na richmond nikaagiza tuvunje mkataba. Mgonja akaomba aongee na simu baada ya one hr akaja na jibu mamlaka za juu zimesema mkataba uendelee" Edward Lowasa 28/07/2015..

Mytake: Mamlaka ya juu ndiyo "KITENGO" iliyofanya kazi Dodoma kwa kulinda familia.
 
Back
Top Bottom