Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,513
Mkwe ataachiwa sasa,bintiye alimisi kumbwato akamshawishi baba arudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashariti ya kuunga juhudi lazima uwakandie na kuwatukana sana Chadema, Si mliona kwa Waitara mpaka akalamba unaibu waziri
Nimeishia kucheka tu.... Anasubiri Chakubanga amwandikie speech ya kuikandia CHADEMA, awakumbushe this time Waje na edited version sio zile tulizozoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema mzalendo wa kweli