Tatizo sio misaada, tatizo ni uhusiano wa kidiplomasia na nchi nyingine duniani...we can't live like we are in an isolated island....Natumaini wanaweza kuprint hii wakampenyezea mkuu aone; au ngoja nimpenyezee mwenyewe...![]()
Heshima yako mkuu. Ila ulikosea sana kwenye ule uzi wako wa makontena ukimsifu rais hana mchezo na aangalii uso kwenye kodi na atamtumbua makondaNatumaini wanaweza kuprint hii wakampenyezea mkuu aone; au ngoja nimpenyezee mwenyewe...![]()
Vipi mzee baba ashabong'oa uko Wb vp utasifu kubong'oa au utamwambia akaze matako? Asipokee msaadaa?Natumaini wanaweza kuprint hii wakampenyezea mkuu aone; au ngoja nimpenyezee mwenyewe...![]()
Tatizo sio misaada, tatizo ni uhusiano wa kidiplomasia na nchi nyingine duniani...we can't live like we are in an isolated island....
Wakati hatujapiga hatua yeyote kiuchumi mnataka kutuaminisha kuwa hamwataki Kwa sababu ya misaada Yao....hell no...
Mahaba upofu...
Haya mawazo jamani tutayaacha lini. Huo ni mfumo tu walitengeneza ila unaweza kuvunjwa na tukaishi kwa uhuru kama tutakavyo. Itakuwa taabu lakini baadae tutatoboa, sema unakuta watu wenye mawazo kama yako ndio wako ngazi za maamuzi. So sadSisi ndio tunawahitaji wao zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi huo ndio ukweli!
Ungenipa mifano ya nchi za Africa zilizofanikiwa kuvunja huo mfumo ningekuelewa vizuri na ulivyoandika itakuwa taabu mwanzoni baada ya kuvunja je unafikiri tupo tayari kuivumilia hiyo taabu?Haya mawazo jamani tutayaacha lini. Huo ni mfumo tu walitengeneza ila unaweza kuvunjwa na tukaishi kwa uhuru kama tutakavyo. Itakuwa taabu lakini baadae tutatoboa, sema unakuta watu wenye mawazo kama yako ndio wako ngazi za maamuzi. So sad![]()