Kupigwa chini kwa Betty Mkwasa na Shaaban Kisu kunaashiria nini kwa Wanahabari?

Rejea tu kichwa cha Habari hapo juu na karibu katika " kutiririka " tafadhali.
Na kuchaguliwa kwa Godwin Gondwe a.k.a double G, kunaashiria nini kwa wanahabari..?

Kwa mtazamo wangu naona uwezo tu alionao mtu kwenye kutumikia nafasi husika ndo kunaweza kumfanya ateuliwe au apigwe chini.

Kuna nafasi zinahusiana na taaluma... kwa mfano mhandisi wa mkoa OR daktari wa mkoa OR mwanasheria wa serikali lazima awe na taaluma hiyo.

Mkuu wa wilaya taaluma si ishu sana ukilinganisha na kiwango cha elimu kwenye taaluma yako
 
Mambo, za siku? Binafsi ni mwanahabari kitaaluma ila tambua tu sijafurahishwa na uteuzi wa msukuma GG japo niliwahi fanya nae kazi mahali.. Usiniulize kwanini..


I am not a language student and therefore vulnerable to such mistakes.

Matusi ya nini? Sijatukana katika uzi wangu. Mawzo Finyu ni mama yako, mpuuzi mwanaharamu mkubwa we, blood bastard!
Naipenda JF, inaelimisha,, lakini inapofikia mashambulizi, na matusi,nachoka na kukata tamaa.
 
Kila zama na watu wake.It looks like zama zao zimepita, hivyo wamepisha wenye zama mpya.
Tuwatakie kila la kheri nje ya ofisi walizozitumikia karibuni.
 
Not at all, all these two languages I learned then when I went to school. At certain times you have to choose what makes you communicate efficiently/effectively (not fluently please); and the reason is this: English is rich in vocabulary and therefore sometime a better choice of medium of communication! Ila nisema kweli, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Kiswahili sikipi kipaumbele, niwe mkweli! Nitaanza kukipenda kuanzia leo kwa wito wako!
Rich and not "reach" au ndo malkia anavyotumia?
 
Back
Top Bottom