Kupigwa chini kwa Betty Mkwasa na Shaaban Kisu kunaashiria nini kwa Wanahabari?

Mkuu mbona unataka tu " kumponza " kama siyo " kumchoresha " Shaaban Kisu? Yaani kutoka katika Uheshimiwa wote ule leo aje tena " atukodolee " macho mbele ya screen? Akifuata ushauri wako hakika nitamdharau hadi Kiama. Si bora aende tu akafuge vizuri nyuki zake au ajikite katika " kilimo kwanza ".
Kilimo kwanza? Acha kabisa izo habari mwenyewe mtoto wa mkulima alikiona cha moto mpaka akaomba po.!
saivi yupo zake DIT.!!
 
Rejea tu kichwa cha Habari hapo juu na karibu katika " kutiririka " tafadhali.


Ina maanisha kuwa JPM is a serious man, jamaa anafanya vitu kwa vitendo na hataki mchezo wa kuchekea watu bila sababu kisa eti demu. Kikwete alikuwa msanii tu na alikuwa anajichagulia watu wasio hata na ujuzi na kuwapa kazi nyeti. In short, Uncle Magu is whom we needed in this country kuja kutawala. Betty Mkwassa angekuwa anaelewa nini akifanyacho asingetumbuliwa.
 
Hivi watanzania tunerogwa. Yaani wakuu wote wa wilaya walioachwa ktk uteuzi wewe umewaona Betty Mkwasa na Shaaban Kisu tu. Hatuwazi maendeleo tunawaza kuwachokonoa watu tu.
 
Kwani Betty Mkwasa hayupo?...duuu,sasa hiyo kitu itamuathiri kisaikologia kocha wetu Wa Taifa....
 
Hivi Kazi za Ukuu wa Wilaya in zipi? Je sifa za Kazi hiyo in zipi( CV)? Maana tunasikia eti wateule ni wasomi
 
Ndo hivyo tena;
kama unapata kazi kibahati bahati,
halafu tena unaenda kuuza sura;
unafikiria nini kitafuata?
Huu mchezo hautaki hasira.
System ya yule mtangulizi inafutika taratibu mpaka wote waishe
 
[QUOTEtake tuuUE TANZANIAN, post: 16663794, member: 271155"]Alikuwa anawachuna nini mkuu na kisu chake??[/QUOTE]
Mambo yake ndo yalituchosha
 
Back
Top Bottom