Kupigwa chini kwa Betty Mkwasa na Shaaban Kisu kunaashiria nini kwa Wanahabari?

Rejea tu kichwa cha Habari hapo juu na karibu katika " kutiririka " tafadhali.
Mambo, za siku? Binafsi ni mwanahabari kitaaluma ila tambua tu sijafurahishwa na uteuzi wa msukuma GG japo niliwahi fanya nae kazi mahali.. Usiniulize kwanini..
 
Hivi ngoja nikuulize swali moja, huyo Beti Mkwasa amekuwa Mkuu wa wilaya kwa miaka mingapi? Au yeye Ukuu wake wa Wilaya ulipaswa usiwe na kikomo? Au yeye ana hati miliki ya ukuu wa Wilaya hapa TanZania?
Atapata muda wa kumhudumia RAY C.
 
Angalau Taifa stars sasa inaweza kufanya vizuri, hivi ujiulize ni maisha gani ya kutokuishi na mkeo miaka yote hii na mpo nchi mmoja? Yani hata Anne Kilango alishakuwa radhi kumuacha mzee wa watu bila care kwa uchu tu wa madaraka wakati mzee ana mshara na marupurupu mpaka anakufa, waswahili tuna tamaa sana.
 
Keep learning, English is your second language, is not your mother-tongue language...!! You are not ENGLISH-BORN SPEAKER..!!

Dig deep to know clear meanings of words and phrases..!!
I am not a language student and therefore vulnerable to such mistakes.
umemchukia mama yako na kumpenda mama wa rafikiyo kisa mamayo mfupi wa rafikiyo mrefu kwa mawazo yako finyu wakati kiuhalisia wote wana kimo sawa!
Matusi ya nini? Sijatukana katika uzi wangu. Mawzo Finyu ni mama yako, mpuuzi mwanaharamu mkubwa we, blood bastard!
 
I am not a language student and therefore vulnerable to such mistakes.

Matusi ya nini? Sijatukana katika uzi wangu. Mawzo Finyu ni mama yako, mpuuzi mwanaharamu mkubwa we, blood bastard!
soma vizur nilichoandika! linganisha na uzi wako then utagundua hiyo mama inamaanisha nini!,?

pitia na comment zangu uone kama huwa natukana.

Elimu jambo la msingi sana! somo la fasihi R.I.P
 
soma vizur nilichoandika! linganisha na uzi wako then utagundua hiyo mama inamaanisha nini!,?

pitia na comment zangu uone kama huwa natukana.

Elimu jambo la msingi sana! somo la fasihi R.I.P
Mawazo finyu ni neno zuri, ?? Unajua elimu yangu? Basi kwa tarifa yako nimesoma fasihi na Science, well placed to integrate the two! Humu hatufahamiani do not underrate anybody in this JF! Mimi wewe siwezi kukudharau maana sikujui
 
Mkuu kusema kingereza kinajitosheleza kimsamiati mimi nakataa kwani siyo maneno yote ni ya kiingreza.hivyo basi kila lugha hujitajirisha kimsamiati kwa namna mbalimbali ikiwemo kukopa Na kutohoa.mfano neno ugali sio la kingereza lakini linatumika katika kiingereza.hakuna lugha yenye kujinasibu kuwa imejitosheleza kimsamiati Bali tunadanganyana
 
Back
Top Bottom