Kupata kura ziro kwenye uchaguzi ni uamuzi wa kidemokrasia wa wananchi na sio kuibiwa kura kama inavyopotoshwa na wanaokataliwa

Mfuatilie mbunge wa Mbogwe... mfuatilie Nape... Na hata kauli zako wewe mwenyewe...
Kifupi ni kwamba wananchi wapige kura ama wasipige ccm mtashinda tu!
Sasa kama ndivyo? Kwanini mnahamasisha uchaguzi?
Waoneeni wananchi huruma. Hizo trillioni mnapanga kutumia kwenye uchaguzi elekezeni kwenye matumizi mengine!
Gentleman nafuatilia kwa karibu zaid wanainchi wachapa kazi nchini na asiwepo wa kuvuruga amani na utulivu wao wanapoendelea na shughuli zao kwa bidii🐒
 
Back
Top Bottom