Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 27,732
- 27,013
- Thread starter
- #41
Gentleman,Unaongelea hao wasimamizi walimu waliotishwa na ma - DED na ma-DC ili wapige kura kujaza masanduku au kujaza fomu za matokeo bila hata kuzihesabu ili kuisaidia ccm iliyozeeka na kuchuja?
Zama hizi utamdanganya nani?
Kama mnakubalika kwa nini hamtaki tume huru ya uchaguzi iwepo ili mshinde kwa haki?
tume huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania ipo kwa mijibu wa katiba, itaendelea kuwepo na kusimamia chaguzi zote za kikatiba Tanzania bila kuzingatia matakwa binafsi, mayowe wala makelele ya kibaka au tapeli wa kisiasa nchini,
Tume ya mapenzi na matakwa yako binafsi na chama chako ikasimamie chaguzi za familia yako pekee na sio ndio iwe ya waTanzania.
Hata hivyo,
Chaguzi zote za Tanazania zitaendelea kusimamiwa na waTanzania wenyewe na si vinginevyo.
Hili ukamueleze hata mwenyekiti wa chama chako 🐒