Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,911
- 119,823
Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Joseph Kironde
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Kuna mtu kujiita Dr, Professa, tulikuwa na Profesa Matikisa, Profesa Singira, Profesa Maji Marefu, Dr. Manyaunyau, Dr. Ngwizukulu Jilala, Dr. Mwaka, rais wa Manzese, rais wa Wasafi, rais wa Yanga, hakuna ubaya wowote mtu kujiita vyovyote, na kuna kuitwa, sio wewe bali wanaokuita, Dr, Prof, rais au kuitwa vyovyote pia hakuna ubaya wowote mtu kuitwa vyovyote as long as ni informally, lakini unapoandika jina lako kwenye usajili wowote, lazima utatumia majina rasmi na title rasmi.
Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama, ametunukiwa Ph. D za heshima 14!, lakini huwezi kusikia popote akiitwa Dr au kuandikwa Dr.
Kwa vile huu utaratibu wa shahada za heshima, sio utaratibu wetu wa jadi zetu, viongozi wetu wanapotunukiwa Ph. D hizi, ni vyema tukaufuata utaratibu na utamaduni wa shahada hizo.
Wananchi, rukhsa kuwaida Daktari, na kwenye mikutano ya kawaida, ila kwa sisi media, na kuandikwa kama title, hili linahitaji Ufafanuzi wa TCU, na baada ya TCU kulifafanua, MCT nayo ilitolee muongozo kwa vyombo vya habari kuhusu kuwataja au kuwaandika madaktari hao.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
La mwisho, ni kwa madaktari wenyewe hao wa heshima.
Nakumbuka kwenye moja ya matukio yaliyokuwa yakitangazwa live Mubashara na TV zetu, mmoja wa viongozi aliteleza ulimi na kumuita Mkuu wa nchi "Mheshiwa Mungu" mbele ya Mkuu huyo wa nchi, Mkuu yule alicheka tuu kwa kujua mzungumzaji ni ameteleza tuu ulimi.
Yule aliyeita Mheshimiwa Mungu, hakuomba radhi, bali alirekebisha tuu na kuendelea,
View: https://youtu.be/6y3V86aZYf0?si=kJQf8vmFWBtauuAC
Na Mkuu wa nchi alipokuja kuhutubia, aliendelea tuu na hotuba yake as if nothing happened!. Kikichokuja kutokea is now a history!, kwasababu hakuna ajuye sababu, this could have been kulichangia!.
Alichopaswa kufanya Mkuu wa nchi ni kukemea!. Huwezi kuitwa Mungu kimakosa radhi isiombwe na wewe kuendelea as if nothing happened!.
Hivyo kwenye hili la kuitana titles za udakitari wa heshima, kugezwa ni title rasmi, kitendo cha watwa kutokemea, au kukaa kimya, tafsiri yake ni wanapuuza tuu kwasababu sio wao wanao jiita madaktari, ni maadam ni title ya heshima, kuna ubaya gani mtu kuheshimika na kuitwa title ya heshima ya usomi ubobezi na ubobevu ili hali ni title ya heshima tuu?, hivyo kuitwa anahesabika kuridhia!, jee tuwashauri viongozi wetu wakemee?.
Kufuatia maendeleo ya utandawazi kumeibuka vyuo vikuu vya mtandaoni, online universities zinazouza shahada za kununua, bila hata kuingia darasani, vyuo vikuu hivi vya mtandaoni vina issues Ph. D za heshima kwa kulipia tuu tena ni dola 100 tuu!, hili lisipotolewa muongozo na ufafanuzi, utafikia wakati tutashindwa kutofautisha yupi ni Daktari wa kweli wa kusomea, Daktari wa heshima, na Daktari wa kununua makaratasi, tutakuja kuichanganya jamii yetu.
Mbona kwa wanasheria hili limewezekana ili mtu kuwa wakili, lazima uthibitishwe na Jaji Mkuu wa Tanzania na kusajiliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, hivyo TCU yenye jukumu la kutoa ithbati ya vyuo vikuu, hii madaktari wa heshima kuitwa madaktari na kuandikwa madaktari , kuna haja ya kulitolea ufafanuzi au tuiachie tuu?.
Wasalaam
Paskali

AnastahiliJuzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoris causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Joseph Kironde
Usikute sio yeye, au usikute...Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.