kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,655
- 1,878
Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
Cha kumzidi mume wakeKipato kikubwa ni kama bei gani.
Kila mtu achukue zakePole mkuu. Sasa utafanyaje?
SawaMambo ni magumu upande wako mkuu. Lakini yana mwisho japo mwisho ni mbali.
Sawa.Kila mtu achukue zake
KabisaUkiona hivyo ulifeli kuweka misingi mwanzo, wenzako wife ana a milion more kwenye kipato na ukikoroma mwanaume anakaa kimya.
kesho.Kama leo ,kwakisukuma inaitwa jana
Je,keshokutwa inaitwaje
Mimi wangu(japo sijamuoa) ananizidi ila kuna trace naziweka hawezi ruka maisha yake.Ukiona hivyo ulifeli kuweka misingi mwanzo, wenzako wife ana a milion more kwenye kipato na ukikoroma mwanaume anakaa kimya.
Kosa lako ume let pesa zake ( na huenda si nyingi) zikuyumbishe. muonyeshe you dont need kipato chqke you need her. Kama hatoelewa piga chiniDah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
Pole ndio ukubwa huo...Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.