ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,327
- 50,563
Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe YouTube iwe tiktok ilimradi apate tu hela.