Kumuoa binti msomi

Nimesema wavulana Ila namanisha gender ya kiume kwa ujumla nimetumia neno wavulana ili kuipa uzito maada.
A6B71412-05DE-42D7-A221-70C4C1B25AD6.jpeg
 
Unawazia elimu 2020 harafu hana ela ?

Saivi mwanaume ni pesa tuu utawapata wengi hadi wenye PhD za Harvard
 
Thanks for a little opening explanation...
Wavulana tunajua huwa ndo wanatongoza so nimebase kwao ili kuibua mjadala vinginevyo ningetumia mwanaume wengi wao wapo kwenye ndoa tayari

Na wanaume huwa hawatongozi ni underground movement na wanatumia pesa zao kupata wanachotaka
 
Lakini madada zetu hawa wenye elimu zao ukiwatongoza wana jishembendua sana tatizo huwa ni inferiority complex au kujiona
Wakati mwingine ni vizuri kujua unataka kuzungumza nae nini na kwa nini ili ujipange unaenda mwambia nini.

Sasa kama kumsalimia kwenyewe ni kule kwa kulamba lamba lips kutakuwa na nini hapo.mwanaume anakaza aiseh.ukiachana na pesa tunapenda mwanaume mwenye kijiamini.natudia tena,mbali na pesa mwanaume ni kujiamini na mistari yakutosha mkuu.
 
Thanks for a little opening explanation...
Wavulana tunajua huwa ndo wanatongoza so nimebase kwao ili kuibua mjadala vinginevyo ningetumia mwanaume wengi wao wapo kwenye ndoa tayari
Mbona kama unachanganya madesa mkuu..unatafuta ugomvi na wanaume walio single humu ndani ee😅😅😅😅
 
Mara nyingi katika masuala yanayowapa wakati mgumu vijana katika kuchagua wenza wao. Ni pamoja na suala la kiwango cha elimu walichonayo.

Wasichana wengine huwakataa wavulana kwa kigezo cha elimu waliyonayo? Je mnahisi elimu inaweza kuwa kikwazo cha mahusiano baina ya watu wawili lakini kabla lazima tutambue akili siyo elimu na elimu siyo akili
Msichana anayemkataa mwanaume kwa vile ana kiwango chini yake cha elimu, anakuwa anajitambua. Huyo mwanamke ni wife material haswa! Uzoefu unaonesha kuwa miaka 5 ya kwanza kila kitu kitakuwa sawa ila mbele ya safari hasa baby na darling vikitoweka kinywani hapo inferiority complex ya mume ikikutana na superiority complex ya bibie huleta shida. Kawivu kanakuwepo hasa bibie akikutana na wasomi wenzie au kukumbushana ya mabibo hostel, hall 3 etc. Kwani jiulize, Kwanini ndoa za viongozi hazikawii kuvunjika hasa mama akiwa ni kiongozi. Halafu piga ua akinamama hupenda kutoa introduction kuwa huyu mume wangu ni mtendaji wa kijiji (wakati yeye mama akiwa mkulima) siyo awe afisa tarafa na aseme mume wangu ni dereva bajaji.
 
Sasa rekebisha kauli yako kuwa kuna wanaume wako singo bado.na sio eti wanaume wote wako ndoani!!mwanangu acha masihara aise.
OK no problem the topic is for both men and boys doesn't matter whether they are in relationships or not lets make it clear on that
 
Msichana anayemkataa mwanaume kwa vile ana kiwango chini yake cha elimu, anakuwa anajitambua. Huyo mwanamke ni wife material haswa! Uzoefu unaonesha kuwa miaka 5 ya kwanza kila kitu kitakuwa sawa ila mbele ya safari hasa baby na darling vikitoweka kinywani hapo inferiority complex ya mume ikikutana na superiority complex ya bibie huleta shida. Kawivu kanakuwepo hasa bibie akikutana na wasomi wenzie au kukumbushana ya mabibo hostel, hall 3 etc. Kwani jiulize, Kwanini ndoa za viongozi hazikawii kuvunjika hasa mama akiwa ni kiongozi. Halafu piga ua akinamama hupenda kutoa introduction kuwa huyu mume wangu ni mtendaji wa kijiji (wakati yeye mama akiwa mkulima) siyo awe afisa tarafa na aseme mume wangu ni dereva bajaji.
Duuh! Well said
Unafikiri ni ndoa zipi hudumu
Za wanandoa wasomi ama zile za wanandoa wasio wasomi
 
Back
Top Bottom