Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,685
- 28,769
Nyie ndo muanze kushoo loveNyie mbona hamtoi sasa mnataka tutoe sisi tu
Nyie ndo muanze kushoo loveNyie mbona hamtoi sasa mnataka tutoe sisi tu
Upo huru sasa?Nilikua rehab
We ni ke au meMkuu ulikuwa wapi?? enzi zangu ungefurahi na sidhani kama leo hii ungekubaliana kwamba sisi hatutoi
kwani nyie mkianza kushoo love kuna tatizo hadi tuanze sie?Nyie ndo muanze kushoo love
KEWe ni ke au me
Hebu anzeni nyie bana.... Eboo!kwani nyie mkianza kushoo love kuna tatizo hadi tuanze sie?
Hebu anzeni nyie bana.... Eboo!kwani nyie mkianza kushoo love kuna tatizo hadi tuanze sie?
Huku mkoani kiwango chao ni 20,000/=. Juzi mademu wa3 waliniomba kiasi hicho cha pesa na wote nishawapiga chiniHalafu vizinga vyao ni 30,000/=. Hivi hamna kiasi kingine cha kutaja zaidi ya hiyo hela?
Hahahhahaha hiyo imenitokea Jana na Leo, akawa analalamika simu yake mbovu, jioni hii nimemaliza kufuturu kafunguka anataka simu mpyaWengne siku ya pili anadai simu mbovu
Punguzeni njaa ombaomba haifaiUnajiaibisha mkuu elfu 30 pesa ya saluni unalalamika???
Punguzeni njaa ombaomba haifai
Punguzeni umatonyaHakuna jipya chini ya jua njaa alianza nayo bibi wako na mpaka kizazi chako! hutaki kuombwa namba ya simu unaomba ya nini?? tuliza genye mdundiko zako
Wanaume Tanzania wanatoweka kwa mwendo kasi. Si ungelia kimya kimya tu jamani!!Haya ni maajabu ya karne kabisa,na hii sijui niite ni ushamba au ndio mambo ya .com.juzi jmapil nmekutana na kademu kwenye gari pale sayansi,,nilimtamani nikaongea nae,usku akaingia laini.jana jmatatu nikaongea sana.mara akaniambia hana salio,si nikamtumia buku mbili! Hapo nilifanya kosa bwana.leo nashangaaa ananiomba 30000 eti aende saluni? ina maana kumtumia ile vocha tu kashaniona mi tajiri wa kumchuna tayari??wadada jamani acheni hizo mambo zenu.mtu tumejuana jmapil tu harafu leo jmanne unaniomba hela? Mbona mnatangaza shida sana? Sasa ni hivi,mwanaume ukishaanza kumtangazia shida tu mapemamapema ujue ushamkosa tayari.
30000 kitu gani bwana, utajiri haupimwi kwa elfu 30. Tafuta hela uwe na hela sio kuona kuombwa 30 kitu kikubwa, unatia aibuHaya ni maajabu ya karne kabisa,na hii sijui niite ni ushamba au ndio mambo ya .com.juzi jmapil nmekutana na kademu kwenye gari pale sayansi,,nilimtamani nikaongea nae,usku akaingia laini.jana jmatatu nikaongea sana.mara akaniambia hana salio,si nikamtumia buku mbili! Hapo nilifanya kosa bwana.leo nashangaaa ananiomba 30000 eti aende saluni? ina maana kumtumia ile vocha tu kashaniona mi tajiri wa kumchuna tayari??wadada jamani acheni hizo mambo zenu.mtu tumejuana jmapil tu harafu leo jmanne unaniomba hela? Mbona mnatangaza shida sana? Sasa ni hivi,mwanaume ukishaanza kumtangazia shida tu mapemamapema ujue ushamkosa tayari.