Kumtumia vocha ya 2000 tu kashaniona tajiri,kesho yake anaomba 30000

Ni wajinga sana mkuu, kuna kamoja kako fb kanadoma chuo na kako hostel, baada ya cku tatu, cku ya nne kakaniomba eti hela ya chakula cku hiyo kangelala njaa!!! nikakambia siku hiyo sikuwa na hela labda kesho yake. kesho yake ilipofika saa 5 kakakumbushia, mimi nikakambia hela cuo tatizo, mimi nataka papuchi tu, kanipe papuchi ti kaone hela itakavyo miminika. hakakurudi tena!!!!

Haaaa
 
vinadai kama deni vile
 
Wewe ndio unakimbia kwa vihela vidogo vidogo, wanaume wenzako wanaona fahari kuhudumia. .

Hiyo elfu30, ukiombwa laki si utaandamana kabsa
Hakuna mwanaume ambaye hayuko tayali kuhudumia dem wake tatizo ni kuombwa hela hata hatujawa wapenzi na hujatongozwa! Mnaaibisha sana na mna njaa mno
 
Toa tu mkuu! Mie nasikia fahari kunjunju na niliyemuhonga na yule aliyenizungusha kidogo! Nisipomuhonga naona kama mie ndio nahongwa kamchezo naishiwa pozi kabisa
 
Wewe ndio unakimbia kwa vihela vidogo vidogo, wanaume wenzako wanaona fahari kuhudumia. .

Hiyo elfu30, ukiombwa laki si utaandamana kabsa
Hao ni mabwegemtozeni upuuzi tu.

Kuhonga na kuhudumia kuna kanuni zake

Unaweza kujifanya kibosile ukazitoa ukaambulia busu kavu

Pesa yangu Mimi niliyoitolea jasho haipotei kirahisi.

Back
Top Bottom