masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,191
- 13,829
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad leo ameitisha mkutano na wafuasi wake na kuwataka kuanza kujitayarisha kuyalinda Makao Mkuu ya chama hicho yaliopo Mtendeni Zanzibar.
Chanzo: DW
Tulisema huko nyuma sakata hili lilipoanza, kwamba sasa kuna CUF Zanzibar na CUF Tanganika watu walibisha, sasa yametimia.