Kuelekea 2025 Kumekucha CCM: Nape na Makamba 'waula', walitumbuliwa ili kutambuliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nape na January damu damu we love them till death
 

Utolewe kuwa waziri uende kufanya kazi zisizoeleweka useme promotion. Mnakula chakula gani kisicholeta virutubisho siku hizi? 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Anayekwenda kwa boss ni nani hapo? Wamepewa kazi sababu ni jobless hawana cha kufanya na baba zao bado wapo hai wengine
 
Wamwongeze P Msigwa kwenye timu
 
Hii nchi imejaa watu wapumbavu sana.

Badala ya watu kuwaza maendeleo na uzalishaji, kila kukicha ni kuwaza namna ya kusalia madarakani.
 
Acha uongo! Kuna watu wanaendelea kupukutishwa soon
Wale wa TCRA na TTCL walioandika mabango ya pongezi kwa Nape unadhani Peter Ulanga au Justina Mashiba wako salama? 😁
Wale walio karibu na Janaury Makamba na timu yake ambao wamekuwa kutwa nzima ni kumbrand kuliko Rais wenyewe na wale Mawaziri marafiki zake Mfano mapingili akiponea hapa baaasi hatarudia upuuzi wa kumbrand Mtanga mwenzake,

Account za bwana mmoja ambaye ana 81B alizokuwa akibadilisha kwa dollars kama njugu wamei freeze hapo kwenye Ngamia mchangani


Kwa kifupi mambo si mambo hapa ikulu


Britanicca
 
Hamna kitu, kwanza kamusi ya kiswahili ILANI ni Tangazo la onyo, pili kinachoitwa ILANI ya ya last general election, haijatekelezwa hata nusu ya mambo yaliyomo.

Kilichofanyika ni kumpiga mtoto akaanza kulia na Kisha anapewa pipi.

Kutoka uwaziri mpaka kuaanda ILANI...,🀣🀣🀣

Then 2025 haitabiriki nani anagombea, atashinda, je atachagua kweli PM kutoka watu hao???

Kifupi hiyo ni danganya toto wameingizwa CHAKA.

Kapu la mjanja mjinga hatii mkono!
 
Nani huyo mwenye 81 b analafu anaacha crdb kizembe.
 
Nlkua nasubiria tu your comment niamini kama ni kwelπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…