Kumekucha CCM, aliyepigwa rungu na Ndugai ateuliwa Ukuu wa Wilaya

Rungu mpaka udc kali kwelikweli nami namwinda mtwange bakora mwenyekiti wa mtaa nipate ukatibu tarafa sijui kama cheo hicho bado kipo
 
Only in Tanzania. Kitendo alichokifanya Ndugai hakikuwa tu uvunjaji wa sheria, ambapo ushahidi wake wa video ulikuwa wazi kabisa, bali pia kilikuwa ni ukiukwaji wa maadili ya uongozi. Hivi leo mtuhumiwa ni spika wa bunge na aliyepigwa naye kapatiwa ukuu wa wilaya. Aliye juu yao hawa wawili ni Rais anayejitambulisha kuwa ameingia madarakani kuondoa ufisadi nchini!
 
Back
Top Bottom