kepler telescope
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 904
- 599
Pia ewe Mungu zidi kumpa naibu spika Dr. Tulia hekima, maarifa, busara, nguvu, ujasiri ili aweze kuliendesha bunge letu vizuri akiwadhibiti wapinzani wakorofi wanaoziba midomo yao kwa makaratasi. Mlinde dhidi ya hila zote za wapinzani ambao wanamchukia eti kwa sababu anasimamia kanuni na sheria za bunge. Washindwe na kulegea. Aaaaamen.Ewe mungu tunakuomba umponyeshe mh ndugai arudi mapema ili atuongozee bunge letu