Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Mimi nimeona hapo kwa sababu hii ni wiki ya valentine shemeji, ukisikia mtu kaenda dinner na friend unawaza nini kitakuwa kilihappen.
Kwahiyo ulifikiri haka katoto espy bado kana bikra??? Wajanja walishaitifua tangu kakiwa form two.
 
wanaume tunalia lakin sio kizembe kama uyo mjamaa,
sasa mwaka mzima kulikuwa na mapenzi gan bila papuchi!
Unaweza ona ni uzembe kumbe kwa mwenzio ni jambo zito sana kuwahi kumtokea, some souls are just too innocent yaani.
 
Huyo jamaa wa kwanza ni Boya yalee yanayoelewa au tumuite kiazi mviringo,wewe kukaa na mwanamke mwaka na miezi minne 4 bila kumgonga lazima mwanamke apate wasiwasi labda jamaa ni hanithi...na ndicho kilichotokea,vijana wafumueni mademu zenu mpaka watapike.
Halafu mwanaume unalia? hizo ni features za kike:)
Duuuuh!!! Mawazo ya kiume ni level nyingine
 
Mkuu nikuulize kwa statement yako hio...una familia?? Tuanzie hapo kwanza ...yani mke na mtoto/watoto
we endeleza mapenzi ya kulialia ndugu yangu siku utawajua hao watu! Kwani familia ndio kigezo cha upendo,wenyewe wanasemaga shetani anawapitia!
 
Hivi unajisikiaje kuwapakazia wanaume namna hii?? Mwwanaume utaliaje sababu ya K?? K kitu gani bhana?? Mbona mbuzi anaianika mchana kweupe tena na kamkia anakibinua juu muiangalie mtakavyo???
Usitake nitoe siri zako hapa jinsi ulivyolia siku ileeee!! We hapana chezea hicho kiungo.
 
Usitake nitoe siri zako hapa jinsi ulivyolia siku ileeee!! We hapana chezea hicho kiungo.
Hapana... mi kiungo K hakinibabaishi... Kina sura mbayaaaa!! Sijui kwanini Mungu aliamua kuweka utamu kwenye jidude libaya namna ile... hebu imajin na ubaya ule bado watu wanalia na wengine wanaulamba... K ingekuwa na sura nzuri hakyamama msingekuwa nazo leo, lazima walume wangezimeza...

Ndo maana mi siipendagi kabisa K... yani labda itokee tu.
 
Mimi nimeona hapo kwa sababu hii ni wiki ya valentine shemeji, ukisikia mtu kaenda dinner na friend unawaza nini kitakuwa kilihappen.
Shemeji hii wiki ngumu kweli kwangu tangu kaka yako asheherekee birthday ya mia wakati yangu hata haijui, yote tisa, kumi valentine sijui hata alikuwa wapi!! Nina majonzi sana shemeji yangu.
 
Back
Top Bottom