Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Exposure hawana, wanavamia tu wanawake wa mjini hovyo hovyo
Unaweza kufafanua kwa hoja za msingi kwamba binadamu jinsia ya kiume anayeishi mkoani hana exposure na wanavamia wanawake wa mjini daresalama....je huyo binadamu jinsia ya kiume haruhusiwi kupenda ama wanaume wa dar ndo wanaruhusiwa ama mwanaume wa mkoani analia lakini wa dar halii..how can you justify this statement kwamba wanakosa exposure ..how...
 
Hii nis story ya kutunga,,, ila mimi ilishanitokea exactly kama hii,,,,,mbaya zaidi tulishatambilishana kote na tarehe ya Harusi ilipangwa,,,,,,msichana kaishia kwa jamaaa waliokuwa wanafanya wote ofisi moja,,,
Sio ya kutungwa hata kidogo, sema nimepindisha mambo kidogo tu kwasababu fulani fulani.
 
Jana jioni nilikuwa mahali having dinner with my boyfriend, sasa kuna vijana kama wa4 walikuwa meza ya jirani wanakula na kunywa, baada ya muda jamaa mmoja kati ya wale wa4 akaanza kulia hadi ikabidi mwenzao mmoja aondoke nae akampakia kwenye gari haoo wakaondoka.

Sasa ndio tukawa interested kujua ni kitu gani kilikuwa kinaendelea mpaka mtoto wa kiume atoe chozi namna ile, ikabidi tujongee tupate kuuliza maana tulihisi ni msiba.

Ndio tukapewa story;
Jamaa alikuwa na mchumba wake ambae wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na miezi4 na walitaraji mwezi wa6 mwaka huu wafunge ndoa. Na katika mahusiano yao walikubaliana hakuna kugegedana hadi watakapofunga ndoa.

Awali walikubaliana kuanza mipango ya kutambulishana mwezi wa11, na kijana alimpeleka binti kwao, ikawa imebaki kijana kwenda kwa akina binti na walikubaliana waende mwezi wa12, ila baadae binti akahairisha na kumueleza kijana kuwa isingekuwa muda mzuri kwani kwao kuna matatizo ya kifamilia.

Kumbe binti kule alikokua alianzisha mahusiano na kijana mwingine na mapenzi yalikuwa motomoto kabisa na walikuwa wakila tunda kama kawaida, baadae binti akanasa ujauzito na ndio kisa cha kumwambia kijana asubiri kwanza kwenda kujitambulisha.

Sisi wajanja tumeshajua lengo la kuanzisha huu uzi ni kutufahamisha una boyfriend wako aliyekutoa out na kwa hiyo wewe sio bikira.

Yani uende sehemu kupata dinner na basha wako... afu kidume msichokijua kabisa kianze kulia eti kisa mwanamke... afu kikaondoka na kidume chenzake kizembe... Sasa sisi tunajiuliza story zote hizi ulizipatia wapi wakati mwathirika usiyemjua kishaondoka na michozi yake???

Au unataka kutuambia Nifah kashaanza kumwaga michozi ya The bold

CC: Mbea mwenzio Heaven Sent na vishamba vyenzio Numbisa na emmyta

Wakurugenzi Bonny na Raimundo mkuje huku kuna mswada wa machozi unaendelea huku.
 
Unaweza kufafanua kwa hoja za msingi kwamba binadamu jinsia ya kiume anayeishi mkoani hana exposure na wanavamia wanawake wa mjini daresalama....je huyo binadamu jinsia ya kiume haruhusiwi kupenda ama wanaume wa dar ndo wanaruhusiwa ama mwanaume wa mkoani analia lakini wa dar halii..how can you justify this statement kwamba wanakosa exposure ..how...
Kabla sijajibu swali lako nadhani neno exposure umelielewa? wanawake wa mjini wana mbinu nyingi sana na akili nyingi sana za kumlaghai mwanaume. Kwa mwanaume wa kawaida wa mkoani hawezi kujua mbinu hizi na kwa kweli atakua vulnerable na wizi wa wanawake wa mjini. Kwa urahisi wa rejea ni wapi umesikia mtu wa mjini akaambiwa mambo ya kijinga kama kusubiri game mpaka siku ya ndoa? huku mjini huwaga tunatia mimba kwanza alafu ndio tunaoa, nadhani elimu hiyo ndogo ya mtaani inakutosha kwa leo.
 
Kanyimwa tunda kumbe wajanja wanajilia tu masikini, ila Mungu atamjaalia tu nae wake maybe kamuepusha na balaa kubwa zaidi huko mbeleni.

Mapenzi haya jamani!!!

its sad, inaonekana the man was a good guy akaangukia kwa bitchy(wrong) woman, si ajabu huyo mwanamke alimchuna hela huyo mwanaume mpaka bhasi, situation kama hizo mara nying husababisha wa2 wawe katili kimapenzi espy
 
Huyo jamaa wa kwanza ni Boya yalee yanayoelewa au tumuite kiazi mviringo,wewe kukaa na mwanamke mwaka na miezi minne 4 bila kumgonga lazima mwanamke apate wasiwasi labda jamaa ni hanithi...na ndicho kilichotokea,vijana wafumueni mademu zenu mpaka watapike.
Halafu mwanaume unalia? hizo ni features za kike:)
 
Roho ya kinyama ...roho ya kishetani...roho.ya kilusifa,,roho ya mchuna ngozi, roho.ya muuaji albino roho.ya kikatili ...sina meng ya kusema zaidi.
Duuuuh!! Hayo yote yake jamani!! Nae si ni binadamu, kukosea kupo
 
Back
Top Bottom