Kumbe huyu Trump ni bonge la comedian

Kuna jamb o la kushangaza sana kwa viongozi aina ya Trump
jinsi wanavyoweza kupata wafuasi wajinga wajinga wengi mno wa kuwapigania
na kuwaaminia hata jambo la uongo kabisa....

Juzi imetangazwa kuwa Trump ame sign mswaada wa kuzuia au kuweka ugumu kwa
raia wa nchi za kiislam kupata visa ya kuingia USA....

mijitu yenye akili ndogo naona ilruka ruka mno na kusema huyu jamaa si mchezo
hataki masihara....

sasa zilipotajwa hizo nchi ndo nilicheeka kupita kiaisi eti Somalia....
sijui Syria...Iran.....yaani vichekesho vitupu

Hakuna Saudia Arabia hata Egypt tu hakuna

Kama mtakumbuka Al Qaeda iliundwa na wasaudia arabia na wa Egypt....zaidi kuliko watu wa nchi zingine....hata Kuwait trump kaiogopa licha ya kuchangia idadi ya kutosha ya terrorists

Huuu ndo ukweli ..Trump ni comedian tu anae wachota watu wenye akili ndogo....

Kuna vitu hana ubavu navyo.....

Kingine ni aliposema USA kwa miaka mingi imetumia utajiri wake kutajirisha nchi zingine
na kuacha wamarekani masikini...hii alisema siku ile ya kuapishwa

Swali la msingi ni hili...? ana ubavu hata wa kupunguza tu misaada kwa Israel?...

naweza ku bet pesa nyingi tu ubavu huo hana.....sio ttu wa kusimamisha hata tu kupunguza misaada kwa Israel....tusubiri tuone......kama hata Saudia Arabia tu anaiogopa itakuwa Israel?
Wee aliposema misaada akili yako ikaenda Israel moja kwa moja .,hujui Israel ni kama pati ya marekani .jidanganye usubiri mpaka unafariki ikidhan marekani itaacha kuisapoti Israel.no Israel no America .,no amerika no Israel.
Poyeeeeee
 
Inawezekana una akili kuliko Trump na Bunge la Senate & Congress kwa maana senate ndo walioidhinisha huo mswada..... wewe una akili kuliko idara za ujasusi za USA...
Sasa si ungegombea Urais???

Mbona unakuja bwabwaja pumba humu?
umeelewa hata nilichozungumza?
Kwa hiyo Senate ndo wamemuamuru asiiweke Saudia Arabia?
 
Kuna jamb o la kushangaza sana kwa viongozi aina ya Trump
jinsi wanavyoweza kupata wafuasi wajinga wajinga wengi mno wa kuwapigania
na kuwaaminia hata jambo la uongo kabisa....

Juzi imetangazwa kuwa Trump ame sign mswaada wa kuzuia au kuweka ugumu kwa
raia wa nchi za kiislam kupata visa ya kuingia USA....

mijitu yenye akili ndogo naona ilruka ruka mno na kusema huyu jamaa si mchezo
hataki masihara....

sasa zilipotajwa hizo nchi ndo nilicheeka kupita kiaisi eti Somalia....
sijui Syria...Iran.....yaani vichekesho vitupu

Hakuna Saudia Arabia hata Egypt tu hakuna

Kama mtakumbuka Al Qaeda iliundwa na wasaudia arabia na wa Egypt....zaidi kuliko watu wa nchi zingine....hata Kuwait trump kaiogopa licha ya kuchangia idadi ya kutosha ya terrorists

Huuu ndo ukweli ..Trump ni comedian tu anae wachota watu wenye akili ndogo....

Kuna vitu hana ubavu navyo.....

Kingine ni aliposema USA kwa miaka mingi imetumia utajiri wake kutajirisha nchi zingine
na kuacha wamarekani masikini...hii alisema siku ile ya kuapishwa

Swali la msingi ni hili...? ana ubavu hata wa kupunguza tu misaada kwa Israel?...

naweza ku bet pesa nyingi tu ubavu huo hana.....sio ttu wa kusimamisha hata tu kupunguza misaada kwa Israel....tusubiri tuone......kama hata Saudia Arabia tu anaiogopa itakuwa Israel?

Taitzo ni kwamba mnasikiliza sana Mass media ambazo kwa kiasi kikubwa sana zinapotosha, D.Trump hajasema kwamba atazuia Waislamu kuingia USA na mimi nimekuwa nikifwatilia Kampeni zake tangu siku ya kwanza, ila alisema kwamba Wakimbizi wote wanaotoka kwenye nchi zenye matatizo ya ugaidi watapigwa stop mpaka hapo hali kwenye hizo itakapotengemaa, lkn siyo nchi zote za Kiislamu, mass media imespin kama kawaida yao!
 
Huyu jamaa ataiongezea zaidi na zaidi maadui Marekani na nina hakika usalama utakuwa ni mdogo sana tena sana kwa marekani chini ya Trump
 
Hii argument yako yote siipingi....ila kama unaweza kujisoma ina sound like Obama administration argument..

sicho alichokisema Trump kabla hajachaguliwa

usisahau alisema ata ban waislam wote kabisa....wala issue haikuwa some few terrorists

Nchi kama Iran hakujawahi kuwepo raia wake kui attack USA as far as i could remember...
ukiacha ile ya enzi za Cater ....

Alichosema Trump ni kuwazuia karibu raia wote tu....
sasa inakuaje raia wa Saudia Arabia hajawagusa?

Tehe!, Saudi wazito Mr Bossman, naona jeuri yote ya Marekani inapokuja kwa Saud inapoa kidogo, hata uwe Trump. :)
 
Wewe kwenye huu uzi wako wa "mwendokasi" umesema trump ni Comedian. Inamaana hujui kwamba kila mswada anaousain raisi wa Us ni lazmao senate waupe Go ahead???
Sasa unadhani senate ni wajinga hadi waidhinishe comedy???

Nadhani hata wewe mwenyewe Hujui Ulichoandika....

Wewe uwezo wako wa kuelewa mdoogo mno
kubishana na wewe ni kupoteza mda
wapi nimesema senate hawapitii miswaada?

wewe hata kuelewa senate inavyofanya kazi huwelewi
 
Tehe!, Saudi wazito Mr Bossman, naona jeuri yote ya Marekani inapokuja kwa Saud inapoa kidogo, hata uwe Trump. :)

During September 11...baada tu ya attack kulikuwa na zuio la raia wote wa nchi za kiarabu
kuondoka bila kufanyiwa screening...ya kutosha...kumbe it turn out baadhi ya ndugu zake Bin Laden
walikuwa USA pamoja na family members wa King of Saudia Arabia..
Bush himself alitoa order waachwe waende....yaani nilipoisoma hiyo habari ndo nikajua kweli kuna untouchables everywhere
 
  • Thanks
Reactions: kui
He is crazy......

usa have the best education syllabus in the world.. na higher learning yake ya ukweli.. na majority ya usa citizen wana college degrees.. hawawez chagua rais mwehu...

trump went to university of pensylvania one of the best university in the world.. huwez kusema hana akili.. ni ivy league university google it.. zipo 8 tu duniani ivy league schools.. na wanaoenda huko ni best students only.. ni havard, yale, mit, na trump ni mmojawapo wa magenious kufanya degree ivy league.. wewe unasema hana akili kweli??? upo tanzania unawaponda wamarekan hawana akili kumchagua trump huku unawaomba msaada..

google kwanza ivy league au university of pensyllvania utajua trump sio mtu wa mchezo toka enzi anasoma shule

ameshinda urais sababu wenye akili wamemchagua mwenye akili mwenzao.. wanaomuamini...
 
Game TheorY imebadirika sana ila watu watakao umia sana na utawala wa Trump ni wadosi kuliko hata hawa Tunaoita Magaidi
 
Hakuna lolote. Israel ni kama ndugu zetu wa Kigali. Wanaotaka kupewa huruma katika makosa yao kwa kisingizio cha historia.Ni kama mtoto anaepiga wenzake shule akijua baba atamtetea. Na baba yake ni US na UK kdogo.

Israel wanamuhitaji zaid US kuliko yeye anavyowahitaji. Lakini pia katika muktadha huo huo. Hakuna Rais mjinga atakae ''underestimate'' influence ya JEWS(kama dini) katika taifa la Marekani kwa maslahi ya JEWS(kama taifa/Israel)
Unaielewa vizuri Israel au umeandika huku ushapiga vimwendo kasi?
 
Ila america mkumbuke c nchi ya kiarabu na c nchi ya kiislamu so it all about themself to decide
 
Israel ni jimbo la marekani na viongozi wote kama netanyahu na wenzake ni watu kutoka nato na wako chini ya UN sasa trump atanyimaje msaada wamarekani???
 
usa have the best education syllabus in the world.. na higher learning yake ya ukweli.. na majority ya usa citizen wana college degrees.. hawawez chagua rais mwehu...

trump went to university of pensylvania one of the best university in the world.. huwez kusema hana akili.. ni ivy league university google it.. zipo 8 tu duniani ivy league schools.. na wanaoenda huko ni best students only.. ni havard, yale, mit, na trump ni mmojawapo wa magenious kufanya degree ivy league.. wewe unasema hana akili kweli??? upo tanzania unawaponda wamarekan hawana akili kumchagua trump huku unawaomba msaada..

google kwanza ivy league au university of pensyllvania utajua trump sio mtu wa mchezo toka enzi anasoma shule

ameshinda urais sababu wenye akili wamemchagua mwenye akili mwenzao.. wanaomuamini...
Mughabe pia kapita shule kama hizi na huwa ziko chini ya jesuit ndio maana ana uwezo wa kumsema na kumfanya chochote mtu yeyote duniani na asifanywe kitu chochote na yeyote kaso papa tu ndio yuko juu yao kina trump na Mughabe na wengine wachache sana
 
Saudia Arabia haiwezi kuguswa

Saudia ni large exporter wa petrol duniani ana export 17%+ ,huku wengine waki export 2%.

USA na saudia ni marafiki na washirika ,saudia akimuambia USA afanye hiki lazima atafanya refer ishu ya Yemen

Kingine petrodollar,saudia na USA ndio waasisi wa petrodollar ..saudia amemuahidi
USA atamlindia petrodollar na USA amemuahidi saudia atamlindia maslahi yake ..so Trump hana uwezo na hawezi kumzuia saudia mfano mzuri ni congress walivyotaka mwaka Jana waishitaki saudia ,saudia akapiga mkwara wake ishu imemalizwa na kupotea juu juu ..

Dollar ya USA inashikiliwa na saudia ,jeuri "Dollar" ya USA inashikiliwa na USA ..saudia ni untouchable

Kumfungia Iran ni ujinga na Trump kaonyesha chuki waziwazi ,ktk nchi ambazo Trump anazichukia kikweli kweli ni Iran&China ,haswa dharau waliyoifanya Iran mwaka Jana kuwakamata wanajeshi wa USA Trump alilalama sana.

Trump akiigusa saudia Arabia urais wake utakuwa mashakani na kujiwekea kisu shingoni

Ila uzuri Iran hanaga kujipendekeza ,ana uhasama na saudia ,USA lakini anafanya mambo yake vizuri anatengeneza makombora yake ,teknolojia yupo vizuri na hategemei misaada ..big up Iran

Israel ni mtoto wa mama na hawezi kuguswa
 
The fact kwamba hazijatajwa ina maana kuwa kuna sababu
na hiyo sababu ndo naizungumzia hapa....usanii....hata kama nazo zitakuwemo....

Tofauti na anavyojitangaza haogopi lolote...
inaonekana kuna 'maslahi' mengine hata yeye anajua 'akigusa' tu kuna hatari zake
Yap. Hoja yako ina make sense.
 
Back
Top Bottom