Kuku wangu 1 anataga mayai 3-4 ndani ya masaa24!

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
5,827
11,836
Habari za uzima Wana jf🙏

Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa.

Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale
Naomba tuiweke kando
Tujadiri hili.

Mimi ni mfugaji mzoefu na Nina uzoefu kweli hasa kwenye kuku.

Kwa siku za Hivi karibu kuku wangu amenifanya niwaze sana maana sijawahi ona kuku ndani ya masaa24 umekuwa kawaida sana kutaga mayai3 na siku nyingine 4!

Naelewa ya kwamba process ya kutengezeka Kwa yai Moja hutumia masaa24.

Lkn Kwa kuku huyu imekuwa tofauti. Asipotaga mayai 3 basi kesho yake mchana ata Taga yai kubwa sana kama hapo kwenye picha.

Ipo Hivi Kila siku usiku anataga mayai 2-3 na mchana anataga yai 1 Yale ya usiku mara zote yanakuwa tepetepe kama yanvyooneka kwenye picha.

Je hii imekaaje ?
Wataalamau wa mifugo karibuni sana

Kuku huyu ni sasso anafugwa kienyeji simpi madawa Wala madini kama DCP nk simpi inshort anaishi kienyeji 100%

Karibuni
 
Attachments

  • img_1717123890886.jpg
    img_1717123890886.jpg
    354.9 KB · Views: 53
  • IMG_20240530_162738_62.jpg
    IMG_20240530_162738_62.jpg
    116.2 KB · Views: 38
Hongera sana kuku...pia heshima kubwa sana kwa jogoo...vifaranga kwangu kwa week vinaweza kuwa 70..ni wakienyeji kabisaa ndan ya fensi kuna shamba hivyo wanazurura tuu..lakin cha kushangaza Mungu akinisaidia sanq nabakiwa na 20 chanjo kila kitu nawapa Dah naumia sana
Kuna mahali unakosea (management)
 
Habari ya asubuhi mkuu?.

Huyo kuku mfanyie wepesi awe na self care hadi chakula, yaani mpe tip yake kwa uzazi huo mkuu, angalau pumba ziwe na dagaa wa maji chumvi walichanganhwa bila yale madawa yenu ya mifugo.
 
Wazungu tayari wametupata. Wanajua Ujinga wetu. Najua hao kuku unawafurahia ksbb wanakupa faida. Lakini sisi Waafrica asili yetu ni kuku wa kienyeji pure. Tumeachana na hivyo tunakimbilia tunavyotengenezewa maabara na wazungu. Nia yao watumia chakula kama siraha ya maangamizi kwa mwafrica.
1. Zamani ilikuwa tukipanda mahindi punje moja inatoa mhindi mmoja wenye punje nyingi. Ule mhindi unapukuchuliwa kutoa mahindi mengi. Unachagua ktk mahindi yako unaweka ya mbegu. Wazungu wakagundua huko tunaweza kupitisha siraha ya maangamizi. Wakaleta mahindi ya maabara. Punje moja ya mhindi inaenda kutoa mahindi hata ma3 kwenye shina moja. Ujinga wetu tukaacha mbegu zetu za asili tukaingia upate mengi. Yale yaliyowekwa genetics za kuua taratibu kwa njia mbalimbali.

Hayo mahindi huwwezi kuyarudisha tena shambani mpaka ukanunue tena mbegu zingine ambazo ni mpya,zimewekwa genestic mpya. Ili siraha iwe mpya kila wakati.
2. Iko kwenye miti ya matunda pia kama maembe n.k
3. Kwenye mifugo pia. Wanatuondolea taratibu vyote vya asili wanatuletea vilivyopandikizwa genestic za kuua. Ksbb wanajua Ujinga wetu wakatumia njia hiyo kuboresha hiyo mifugo kutudanganya tuingie mazima. Kama ni ng'ombe wa maziwa wa kienyeji anatoa lita 2 kwa siku wenyewe wakamfanya wa kwao atoe lita 8. Kama mwembe unazaa miaka miwili toka upande.
Hivyo hivyo kwenye kuku.

Kuathirika kwetu Waafrica kupo kwenye magonjwa siku hizi ni mengi sana. Hata kwa vijana wadogo wanaumwa magonjwa ya watu wazima. Tofauti na wazungu. Pia wazungu wanafariki kuanzia miaka 80. Sisi kuanzia 50 hapo.
Kifupi wametupata
 
Fact
 
Hongera sana kuku...pia heshima kubwa sana kwa jogoo...vifaranga kwangu kwa week vinaweza kuwa 70..ni wakienyeji kabisaa ndan ya fensi kuna shamba hivyo wanazurura tuu..lakin cha kushangaza Mungu akinisaidia sanq nabakiwa na 20 chanjo kila kitu nawapa Dah naumia sana
Usimamizi tu hapo.
Banda liwe safi na kavu.
Chakula kisichanganyike na kinyesi chao kiwe juu kwenye chombo.
Maji yao changanya na alovera au mlonge na vyombo visafishwe na kubadilishwa maji.
Mfanyakazi awe msafi
 
Habari za uzima Wana jf🙏

Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa.

Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale
Naomba tuiweke kando
Tujadiri hili.

Mimi ni mfugaji mzoefu na Nina uzoefu kweli hasa kwenye kuku.

Kwa siku za Hivi karibu kuku wangu amenifanya niwaze sana maana sijawahi ona kuku ndani ya masaa24 umekuwa kawaida sana kutaga mayai3 na siku nyingine 4!

Naelewa ya kwamba process ya kutengezeka Kwa yai Moja hutumia masaa24.

Lkn Kwa kuku huyu imekuwa tofauti. Asipotaga mayai 3 basi kesho yake mchana ata Taga yai kubwa sana kama hapo kwenye picha.

Ipo Hivi Kila siku usiku anataga mayai 2-3 na mchana anataga yai 1 Yale ya usiku mara zote yanakuwa tepetepe kama yanvyooneka kwenye picha.

Je hii imekaaje ?
Wataalamau wa mifugo karibuni sana

Kuku huyu ni sasso anafugwa kienyeji simpi madawa Wala madini kama DCP nk simpi inshort anaishi kienyeji 100%

Karibuni
Hakuna kitu kama hicho, utawashika masikio wasio jua Sayansi ya utengenezwaji wa yai. ni sawa sawa kabisa na kusema MWanamke ndani ya mezi 9 kajifungua mara 3 kitu ambacho hakiwezekani na wala hakipo. Unajua yai moja huchukua masaa ngapi kukamilika kutengenezwa?
 
Back
Top Bottom