Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,280
- 6,453
Hii inchi imejaa walalamishi kuliko nchi nyingine yoyote duniani
Teh teh...mkuu jitahidi kuelewa usomapo.Pasingelikuwa na ban hakika ningeliharibu hali ya hewa hapa mungu wako na awe pamoja na Mods wa JF kwa kubuni hiyo kitu ban.
Wewe ndio uko mbali sana, km Ballitic missile inatumwa kwanini barua isitumwe, wilayani huko Kilolo wameambiwa wasitumie makaratasi, madiwani watumie iPad, ndio Makatibu wawasiliane na mtaalam gani asiye na mtandao, kuhusu Majengo ni mengi kuliko tena maghorofa, hata zifike wizara 60 wataenea ndipo wakapate bure maghorofa ya UDOM, fika Dodoma usihadithiwe, hii ya mzigo ya mahindi kushuka Tandale, au ng'ombe Pugu endeleeni si ofisi, ofisi hata ndani ya Air Force One angani wanafanya wenzako chini ardhini wanatekeleza leo mafuriko jangwani imekata sasa barua za mkono su zitalowa? zindukaDar inafikika kutoka kokote.
Pia hakukuwa na haja ya uharaka,kipindi wamezuia kwa muda kuhamia Dodoma walikuwa wanafanya nini na mpaka sasa wameongeza nini?
Tueleze hoja za msingi za kuhamia Dodoma bila maandalizi ya kutoshaMtoa hoja ni mgonjwa wa kufikiri. Anajiangalia mwenyewe tu. Hoja zake hazina mashiko. Ni hewa tu. Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni uamuzi wa busara sana. JPM ametumwa na Mungu kutekeleza hili.Wafanyakazi wanaopinga waache kazi. Mitaani kuna watu wengi hawana ajira na ni wasomi wazuri tu.
MTAMALIZA VISINGIZIO LAKINI.KUJA DODOMA HAKUNA MJADALASababu za kuhamia Dodoma miaka ya 70 yawezekana hazipo leo.
Lakini kuwa na miji mikuu miwili yaani Dodoma Utawala na Dar Biashara kwa hali ya sasa ya uchumi itatugharimu.
Ifike wakati mwingine maamuzi kama haya ya kuhamia Dodoma yangerudishwa kwa wananchi wakajadiri upya.
Dodoma ina upepo mkali na vumbi kali,je mmeishapanda miti ya kupunguza kasi ya upepo na vumbi?