Kufunga ndoa na ujauzito ikoje kiimani?

Kikimani sex kabla ya ndoa ni dhambi... Kwa hiyo ata hiyo mimba si sawa... Ila ndo ishatokea tena!
Mimi naona ni bora tu mfunge ndoa ili msizae bastard!
Na tuliozaliwa Kwenye ndoa za mke zaidi ya mmoja mnatuitaje??
Tuacheni Maisha ya kuiga.
Yawezekana hata aliyekuzaa alizaliwa Kwa ndoa za mitala
 
Mkuu, kuna watu walijitungia sheria duniani ili kuwa na mamlaka.
Ninachoamini, kuna sheria nyingi za kanisa zilitungwa na wanadamu Kwa maslahi yao.
Hii mambo ya kuambizana dhambi sijui nini na kutishiana ovyo ovyo sidhani Kama ni Mungu kaleta.
Ukifuatilia kwa ukaribu utaona tunao hangaika na sheria za dini ni sisi tulio enda shule.Sijui kuna uchawi gani wameturogea hawa watu.Watu wengi wameoana baada ya mwenza kushika ujauzito.Kosa liko wapi mpaka watengwe?Nilishaacha kusali kanisani kwa ajili ya upuuzi huo na michango isiyo eleweka.
 
Na tuliozaliwa Kwenye ndoa za mke zaidi ya mmoja mnatuitaje??
Tuacheni Maisha ya kuiga.
Yawezekana hata aliyekuzaa alizaliwa Kwa ndoa za mitala
Kwani ndoa za mitala ni mbaya? Hiyo sihu ya mke mmoja sijui ata ilianzia wapi ila sioni tatizo ilimradi wameoana!
 
Mimba inamiezi nane then unajiongopea kwa kufunga ndoa ili mtoto asiwe kazaliwa nje ya ndoa.....Mjini kweli kuzuri.

Hata mimba ikiwa na siku moja bila ndoa ni mtoto wa nje ya ndoa.
Hii mkuu nimewahi shuhudia mlokole kafanya hili na bahati mbaya tumbo lilikuwa halifichiki kwa ukubwa wakati wa harusi.Sasa hapa sijui waliptiwa na shetani wakafanya mara moja tu na mimba ikaingia au walirudiarudia mpaka ikaingia!
 
Hivi kuna tofauti gani mtu ana mimba anafunga ndoa au anasubiri anajifungua alafu anafunga ndoa, kiimani? maana mwisho wa siku imani itamtaka afunge ndoa...wengine wanasema kubariki ndoa ...je ndoa ikibarikiwa si na mtoto naye kabarikia ili mradi ni watu wale wale waliomzaa ndo wamefunga ndoa?
 
Wenzetu kuna neno huwa wanalitumia, lina ukakasi sana lakini linatumika kwa watoto ambao wamepatikana nje/kabla ya ndoa. Samahani kwa wale waliozaliwa nje/kabla ya ndoa.

Neno "bastard au "mwanaharamu" hutumika kwa watoto wa nje ya ndoa. Sijui kwa nini watu walifikia kutumia maneno yenye ukakasi kiasi hicho.

All in all, kwa imani zetu za kikristo na kiislam, ni dhambi.
 
Wadau,

Kuna hili swala huwa inatokea mtu anafunga ndoa mwanamke akiwa na ujauzito wake tayari, tena tumbo unakuta ni kubwa au kuzaa mtoto kwanza ndio ndoa inafungwa, hili swala kiimani limekaaje ni ruhusa au wachungaji/mashehe wanalazimisha?
Kiiman ni mbaya sana ndoa ni agano la watu wawili na si watatu, ndio maana sikuhiz mama analala na kijana wake au baba analala na bint yake kwa mapenzi mazito hayo ndio madhara ya kufunga ndoa mwanamke akiwa mjamzito
 
Hivi kuna tofauti gani mtu ana mimba anafunga ndoa au anasubiri anajifungua alafu anafunga ndoa, kiimani? maana mwisho wa siku imani itamtaka afunge ndoa...wengine wanasema kubariki ndoa ...je ndoa ikibarikiwa si na mtoto naye kabarikia ili mradi ni watu wale wale waliomzaa ndo wamefunga ndoa?
Hii mambo ina ukakasi sana,lakini nadhani tukirudi nyuma kule kwenye biblia au kuruani,baada ya Adam na Hawa kuanza kuzaana kabla ya kuwepo kwa hizi dini kulikuwa na ndoa kweli?
 
Wenzetu kuna neno huwa wanalitumia, lina ukakasi sana lakini linatumika kwa watoto ambao wamepatikana nje/kabla ya ndoa. Samahani kwa wale waliozaliwa nje/kabla ya ndoa.

Neno "bastard au "mwanaharamu" hutumika kwa watoto wa nje ya ndoa. Sijui kwa nini watu walifikia kutumia maneno yenye ukakasi kiasi hicho.

All in all, kwa imani zetu za kikristo na kiislam, ni dhambi.
Utadhani mtoto aliomba azaliwe nje ya ndoa! Daaaaaah,!
 
Kiiman ni mbaya sana ndoa ni agano la watu wawili na si watatu, ndio maana sikuhiz mama analala na kijana wake au baba analala na bint yake kwa mapenzi mazito hayo ndio madhara ya kufunga ndoa mwanamke akiwa mjamzito
Sidhani kama uko sahihi mkuu
 
kikubwa hili swala liko kiimani Kama we ni mkristo hampaswi kupeana mimba kabla ya kuunganishwa kuwa mwili mmoja, ila kama imeshatokea kila dhehebu limeweka kanuni na taratibu zake za kufuata, kama we siyo mkristo kwa muislam Kama mimba ni yako haina shida kabisa na hata kama siyo mimba yako uwe unajua na umeridhia pia haina shida
 
Ukijifanya mtakatifu sana hata Mbinguni huendi
Mtu kupata ujauzito si kuwa amekosa kuliko wengine.
Tukumbuke ukikosea amri moja umekosea zote
 
Wenzetu kuna neno huwa wanalitumia, lina ukakasi sana lakini linatumika kwa watoto ambao wamepatikana nje/kabla ya ndoa. Samahani kwa wale waliozaliwa nje/kabla ya ndoa.

Neno "bastard au "mwanaharamu" hutumika kwa watoto wa nje ya ndoa. Sijui kwa nini watu walifikia kutumia maneno yenye ukakasi kiasi hicho.

All in all, kwa imani zetu za kikristo na kiislam, ni dhambi.
Watu hawakutunga hayo maneno!!! Yapo kwenye biblia... Deutronomy/kumbukumbu 23:2
 
Wanaoelewa mtoto wa nje ya ndoa ana status gani hawasubiri mpaka mdada ajifungue... Kuna rafiki yangu alifunga ndoa wakati mimba ina miezi nane... Walienda tu kwa mwenyekiti na gauni lake la kawaida wakafunga ndoa yao na kurudi kufanya kapati ka familia... Aligoma kabisa mtoto wake azaliwe nje ya ndoa

unajua maana ya mtoto nje ya ndoa au unaongea tuu.
 
Ila tumeaminishwa kua iliandikwa kwa uweza wa Mungu!!! Sio kwamba watu walijiamulia kuandika
Hilo nalo neno, lakini kuwaita wenzako bastards kisa tu walizaliwa nje ya ndoa na hawakupanga wao kuzaliwa naona ni neno lenye ukakasi sana!!!
 
Back
Top Bottom