Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,758
Kesho utaionaNarudia tena,
Sijaona team ya kumfunga Juventus kwa msimu huu.
OVER
Kesho utaionaNarudia tena,
Sijaona team ya kumfunga Juventus kwa msimu huu.
OVER
Hiyo ndio final prediction yangu japo game 50/50Naona Mkuu unaandika tu goli 3 kirahisi rahisi, embu angalia stats za Juve msimu huu UEFA halafu urudi tena hapa kuedit post yako.
Achana na juve,Madrid anaweza piga timu yoyote on earth.Jumamos juve anarandikwa kama alivyotandikwa 1997 na borusia Dotmand na 1998 na R. Madrid na 2003 na ndugu yake Ac Milan
Anayepinga ni mchawi.Juventus kibibi kizee!!!
Juventus 3-1 R.Madrid.
Ushindi Mapema sana!!Anayepinga ni mchawi.