Kuelekea UEFA champions league final

Moja kati ya match ngumu sana fainali muhimu kwa Cr7 na Madrid kwa ujumla, Zidane atakuwa na kazi rahisi sana ya kupanga kikosi anawatu wengi sana wanaoweza fanya maajabu... Upande wa pili Juve hawana kingine wanachotaka zaidi ya ubingwa wa Uefa unaowasumbua kwa kipindi kirefu wakiwa na record ya kupoteza fainali Nne, Buffon anayinafasi ya mwisho ya kukamilisha record ya kuwa kipa bora zaidi ushindi wa Juve unaweza kumpatia kombe na ballon dor pia. All in all nawapa nafasi kubwa Real madrid kuchukua kombe... Final score R.Madrid 3 - Juventus 2. Hii sio ya kukosa.....
 
Juventus Hana Viungo Wa Kuwadhibiti TON KROOS,LUKA MODRICK ,CASEMMIRO NA ISCO
Juventus ina beki na viungo wazuri sana wenye uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Shida ya juventus ipo kwenye kumalizia ndio tatizo hasa higuan amekuwa anapoteza nafasi nyingi sana za wazi. Real madrid wapo vizuri mbele na viungo ila alegri ni mzuri kwenye mbinu za kimchezo hivyo juventus nawapa nafasi ya kunyakua kombe
 
Casemiro awe makini sana ....ana rafu za mapema mapema so itamkosti ....Marcelo nae anapanda sana so kwa hii mechi awe anakumbuka kurudi ...

Halla Madrid
 
Ukiangalia kwa vikosi vyote viwili moja kwa moja unaweza ukaona madrid wa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa lakini fainali yeyote ile huwa inatawaliwa na tension kubwa sana hivyo timu ambayo itaweza kuhandle tension ya mchezo itachukua ubigwa@team madrid
 
Madrid hajawah kuwa kibonde wa yeyote hapa duniani
Mwaka 1998 fainali champions league
Madrid 1-juventus 0

Mwaka 2003 nusu fainali
Madrid 2- juve 1
Juve 3- madrid 1 (madrid wakatolewa)

Mwaka 2005 hatua ya 16 bora
Madrid 1- juve o
Juve 2-madrid 0 (madrid wakatolewa)

Mwaka 2009 hatua ya makundi
Juve 2- madrid 1
Madrid 0- juve 2

Mwaka 2014 hatua ya makundi
Madrid 2- juve 1
Juve 2- madrid 2

Mwaka 2017 fainali
Madrid..... - juve .....
 
To be honesty, kama ikitokea Madrid akashinda basi itakuwa imetokea tu, lakini kiuhalisia msimu huu UEFA hakuna timu ya kupambana na Juve na wakatoka salama. Hakuna,

"Labda itokee tu" in Sheikh Kipoozeo voice.
 
Mwaka 1998 fainali champions league
Madrid 1-juventus 0

Mwaka 2003 nusu fainali
Madrid 2- juve 1
Juve 3- madrid 1 (madrid wakatolewa)

Mwaka 2005 hatua ya 16 bora
Madrid 1- juve o
Juve 2-madrid 0 (madrid wakatolewa)

Mwaka 2009 hatua ya makundi
Juve 2- madrid 1
Madrid 0- juve 2

Mwaka 2014 hatua ya makundi
Madrid 2- juve 1
Juve 2- madrid 2

Mwaka 2017 fainali
Madrid..... - juve .....
Asante sana mkuu... Umenisaidia nilichokuwa nimekiandaa.
Madrid hajawah kuwa kibonde wa yeyote hapa duniani
Na pia nikukumbushe kuwa, ni Juventus pekee tu ndio anaeongoza kumvua ubingwa real Madrid.

2003 na 2015.
 
Back
Top Bottom