Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 905
Tatizo umeshindwa kunielewa kijana, nimekwambia kwa lugha nyepesi kabisa Bikra sio guarantee ya Ndoa kudumu ndipo nikakupa mfano kwamba Mimi sijaoa Bikra na bado tunaheshimiana sana. Nikakwambia kinachoharibu Ndoa nyingi ni vipaumbele vyao ukijumlisha na kutokuwa na hofu ya Mungu..ila naona umekuja kwaajili ya kubishana na sio kujifunza, hivyo nikuache na ubishi wako mkuu
safi kijana umenena vyema, pata bikra oa kwa faida yako, bt mkishindwa kuheshimiana na kujua wajibu wenu ndani ya ndoa lazma ndoa iwe shubiri