Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,187
- Thread starter
- #161
Sijaongelea wazungu hapa kwa hiyo sioni mantiki yako. Pia hujui mimi nimeishi au ninaishi kwa/na wazungu miaka mingapi sasa. Pili, kati ya mimi na wewe nani mwenye mawazo finyu. Wewe mtu mzima (I suppose) uko busy obsessed na vitu medieval and irrelevant in today's world. Kama unapenda sana utamaduni basi vaa magome ya miti pia. Usinyanyase dada zetu kwa imani potofu kandamizi zisizo na mashiko. For you to think Caucasian girls start to have sex at 18 is hilarious. Hujui unachoongea,tuulize tunaoishi nao wazungu tukwambie.
Mimi pia nawajua wazungu na nipo nao na hiyo si hoja kwa sababu hata hapa bongo wapo mabikra MIMI NAKUONA UNA MAWAZO FINYU MAANA UNAPINGA UKWELI
JE UNAONA HAKI MTU AFANYE ATAKAVYO KABLA YA NDOA huenda hujajifikria nini unaongea mkuu HUJIUI NDOA NINI MKUU unaielezea kwa mfumo wa dunia itakavyo mawazo ya kishetani ndo hutanguliza tamaa
mathayo 15;3
akajibu akawaambia mbona ninyi nanyi hihalifu amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu
MKUU UNACHOKIFANYA NI KUGEUZA MBAYA IONEKANE NZURI SIJUI UNATUMIA UELEWA GANI
Mungu mwenyewe kaonya usifanye ngono kabla ya ndoa HUONI KUIFANYA NI JERAHA KUBWA SANA NA NI PEPO LINALOKUWA LIKIKUNYEMELEA MPAKA KWENYE NDOA YAKO
KWANZA NAHISI UNA MAWAZO MGANDO SANA MKUU UNABISHANA NA UKWELI
kufanya mapenzi kabla ya ndoa tumekatazwa kabisa HOFU YA MUNGU ITAKUJA BAADA YA NDOA TU HUKU KWANINI ISIWEPO?
MAANA UMESHINDWA KUJITUNZA KABLA KWENYE NDOA UTAWEZA MBONA HUJIULIZI SIMPLE QUESTION